Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Utaelewa tu pamoja na kujitoa ufahamu.Unashangaa kuwaalika Bulaya na Mdee mbona hushangai Mbowe kutangaza mchango wa Rais Samia na yeye sio Askofu Mkuu?Utaelewa tu it is just a matter of time.
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?

Kweli hili ni la kujadili?
 
Utaelewa tu pamoja na kujitoa ufahamu.Unashangaa kuwaalika Bulaya na Mdee mbona hushangai Mbowe kutangaza mchango wa Rais Samia na yeye sio Askofu Mkuu?Utaelewa tu it is just a matter of time.
Safi Sana 😂😂
 
Upendo Kwaya Kijitonyama
Huyu hapa. Kwaya ya upendo kijitonyama ndio iliyoalikwa. Wao wanasali hapo na kwenye kwaya hiyo. Wamechukua fursa hiyo kujipendekeza, kujichomekea maneno kama walialikwa wao binafsi. Ilialikwa kwaya na kanisa. Mbowe sio anaetoa mialiko. Mbowe ni smart sana,hawezi kufanya hicho wanachochokilazimisha.
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
kwani si anakula ruzuku, au unafikiri ruzuku inaenda wapi.
 
Waache kusagana hawa wabunge wawili. Wanajidhalilisha japo hawana aibu
Mnajua kujipa dhambi na kazi ya aibu.
Umewahi kuwaona wapi wakisagana?
Au umewahi ona video?

Mtanzania hakukidhi kuwa binadamu nahisi bado mchakato wa kuwa binadamu unaendelea
 
Ni kosa kubwa sana kuwaamini sana hawa watu wanaoitwa wanasiasa,iwe wa upinzani au wa kile chama chenye misukule wengi.
 
Sijawahi kumuamini mtu wa kaskazini kwenye jambo lolote lihusulo pesa
 
Huyu hapa. Kwaya ya upendo kijitonyama ndio iliyoalikwa. Wao wanasali hapo na kwenye kwaya hiyo. Wamechukua fursa hiyo kujipendekeza, kujichomekea maneno kama walialikwa wao binafsi. Ilialikwa kwaya na kanisa. Mbowe sio anaetoa mialiko. Mbowe ni smart sana,hawezi kufanya hicho wanachochokilazimisha.
Kwani mshirika haruhusiwi kualika marafiki kwenye harambee?

Je kutofautiana kwenye chama lazima wawe maadui?
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Mbowe amesalenda 😆😆
 
Mnajiliwaza ila tunapenda kuwaeleza mwakahuu na ujao kipigo kipo palepale huyo mamayenu mwambien kuwa akipata asilimia 25 ya kura aende akatambike kizimkaz.
Siasa zielewe mjumbe. Vinginevyo, zitakuletea msongo wa mawazo. Mimi nimezielewa hazinipi shida
 
Huwa Nina mashaka.sana na mwenyekit mbowe iko kama amaebariki hicho awalichokifnya kina halima
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Kwani hilo kanisa ni la Chadema? Nini uhusiano wa michango na kufukuzwa Chadema.
 
Back
Top Bottom