Utaelewa tu pamoja na kujitoa ufahamu.Unashangaa kuwaalika Bulaya na Mdee mbona hushangai Mbowe kutangaza mchango wa Rais Samia na yeye sio Askofu Mkuu?Utaelewa tu it is just a matter of time.Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?