Ester Bulaya: Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame

Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.

Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
Ili upinzani urudi 2025 Hawa watu inapaswa wasamehewe
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Haya madada hata mimi nayapenda aiseee! Wayasamehe ili tusome mbele! Binadamu kujikwaa ni wakati wowote hivyo hawa madada na timu yao wasamehewe!
 
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.

Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
Amina ng'wanangwa!
Hawa madada wasamehewe aisee! Yaliyopita si ndwele tugange yajayo! ACT anayamezea mate haya majembe!!
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mbowe anawachora tu, anajua kila kitu.

10yrs, zimeisha, Halima na Bulaya wako Bungeni na hakuna chochote kimetokea.

Siasa za Tanzania ni mapichamapicha tu na wala huhitaji akili nyiiingi kujua yanayoonekana kujificha.
 
Mnajua kujipa dhambi na kazi ya aibu.
Umewahi kuwaona wapi wakisagana?
Au umewahi ona video?

Mtanzania hakukidhi kuwa binadamu nahisi bado mchakato wa kuwa binadamu unaendelea
Ni wewe tu huamini. Ila matendo yao na maisha ni mume na mke.
 
Ukienda mahakamani kupinga ubunge wa mtu, majaji ni wa kwetu, nakukumbusha tu matokeo ya rais hayapingwo mahakamani
Kwa kweli hicho Cha majaji na mahakama ndicho kitakachotuokoa, vinginevyo Mimi sijui.
 
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Alialikwa yeye (Freeman Mbowe).

Na kutokana na influence yake ktk jamii ili harambee ifane na kupata fedha za kutosha, basi naye aliona ni muhimu kushirikisha marafiki ambao ni Very Influential People - V.I.P,

Tofauti zao za kisiasa haziwezi kuingiliana na maisha ya kawaida ya siku kwa siku..
 
Mnajiliwaza ila tunapenda kuwaeleza mwakahuu na ujao kipigo kipo palepale huyo mamayenu mwambien kuwa akipata asilimia 25 ya kura aende akatambike kizimkaz.
Mbowe anawachezea akili nyie makondoo hamna issue tena; hamna hata strategy ya kushinda uchaguzi mmebaki kuzurula tu! Amewafunga kamba shingoni anawaburuza!!!
 
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.

Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
7 mara 70
 
Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.

Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
Kaka najua una nia nzuri, lakini hili swala lao mi naliona ni zaidi ya hiyo nia nzuri uipendayo. Swala hili liko kisheria na kanuni zaidi. Hawa wadada wanafahamu walikosea, kukaidi maamuzi ya chama chao na kujipeleka bungeni. Ofa ya ccm kuwapeleka bungeni was too good for them to refuse. Walipokea rushwa kwa shingo upande, lakini walipokea ubunge bila ridhaa ya chama, na bila chama wasinge ingia bungeni. Kwa maana nyingine wao sio wakubwa kuliko chama chao.

Sasa kesi zile ni kutaka muafaka kisheria na sio swala la nia nzuri, na wewe ni mtaalam wa sheria. Kesi siyo ugomvi, ila ni njiaau utaratibu mzuri tuliojiwekea kupata haki. Kwa mantiki hiyo sioni ugomvi kati ya Halima na wenzake dhidi ya Viongozi wa chama, naamini wana mahusiano mazuri ila kuna taratibu lazima zifuatwe ili waweze kurejea kwenye chama chao, hili siyo swala la Mbowe au Lisu bali ni swala la kisheria na kanuni za taasisi ya chadema, siyo HURUMA au mapenzi ya mtu.

Watasamehewa lakini baada ya taratibu za kisheria kwisha.
 
Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Alipewa heshima ya kuwa mkuu wa harambee.ni kawaida hata kikwete mwakajana aliitisha harambee ya hospital ya kanisa pia akakussnya bil 1.huwa ni kawaida kumpajukumu mtu maarufu.pia rihana kwa niaba ya who anafanya donor functions kwa niaba ya who .je rihana ni mfanyakazi who?
 
Back
Top Bottom