Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Ngoja pipoz pawa waje na hamu ya mwaka mpya iwaishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njombe KwayaUpendo Kwaya Kijitonyama
Ili upinzani urudi 2025 Hawa watu inapaswa wasameheweMkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.
Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
Uvikanjo Kwaya😂Njombe Kwaya
Haya madada hata mimi nayapenda aiseee! Wayasamehe ili tusome mbele! Binadamu kujikwaa ni wakati wowote hivyo hawa madada na timu yao wasamehewe!Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Amina ng'wanangwa!Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.
Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Ni wewe tu huamini. Ila matendo yao na maisha ni mume na mke.Mnajua kujipa dhambi na kazi ya aibu.
Umewahi kuwaona wapi wakisagana?
Au umewahi ona video?
Mtanzania hakukidhi kuwa binadamu nahisi bado mchakato wa kuwa binadamu unaendelea
Kwa kweli hicho Cha majaji na mahakama ndicho kitakachotuokoa, vinginevyo Mimi sijui.Ukienda mahakamani kupinga ubunge wa mtu, majaji ni wa kwetu, nakukumbusha tu matokeo ya rais hayapingwo mahakamani
Hawa ngedere wa cdm waache kutukanaAcheni Mambo Ya Kutaja Wazazi
Jitahidini Kudhibiti Hasira,
Unastahili kupigwa maweNasagwa na Makupa
Alialikwa yeye (Freeman Mbowe).Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?
Mbowe anawachezea akili nyie makondoo hamna issue tena; hamna hata strategy ya kushinda uchaguzi mmebaki kuzurula tu! Amewafunga kamba shingoni anawaburuza!!!Mnajiliwaza ila tunapenda kuwaeleza mwakahuu na ujao kipigo kipo palepale huyo mamayenu mwambien kuwa akipata asilimia 25 ya kura aende akatambike kizimkaz.
7 mara 70Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Kaka najua una nia nzuri, lakini hili swala lao mi naliona ni zaidi ya hiyo nia nzuri uipendayo. Swala hili liko kisheria na kanuni zaidi. Hawa wadada wanafahamu walikosea, kukaidi maamuzi ya chama chao na kujipeleka bungeni. Ofa ya ccm kuwapeleka bungeni was too good for them to refuse. Walipokea rushwa kwa shingo upande, lakini walipokea ubunge bila ridhaa ya chama, na bila chama wasinge ingia bungeni. Kwa maana nyingine wao sio wakubwa kuliko chama chao.Mkuu chiembe, asante sana kwa taarifa hii Easter Bulaya: Mwenyekiti wetu wa Chadema, Freeman Mbowe alitualika na Halima Mdee tuhudhurie hafla ya kuchangia kanisa Machame
Niliwahi kuuliza Je, wabunge 19 wa CHADEMA walijiteua? Je, CC ya CHADEMA ni Kangaroo Court? Je, Baraza Kuu litabariki ukangaroo ule?
Kisha nikasema Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?
Hiki alichokifanya Chairman Mbowe ndio highest standards of statesmanship, Halima ni born and breed Chadema, kaipigania Chadema kwa machozi, jasho na damu, she is a human being anaweza kukosea, hivyo tofauti za kichama zisijenge uadui kwenye social events zozote za shida na raha, Halima ni yule yule aliyelelewa Chadema.
Hongera sana Chairman Mbowe, kusameheana kupo na mkifuata ushauri huu Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii. CHADEMA wana macho? Je, wawasamehe Wabunge 19 wabarikiwe, au wakomae nao walaaniwe?
mtabarikiwa sana!.
P
Alipewa heshima ya kuwa mkuu wa harambee.ni kawaida hata kikwete mwakajana aliitisha harambee ya hospital ya kanisa pia akakussnya bil 1.huwa ni kawaida kumpajukumu mtu maarufu.pia rihana kwa niaba ya who anafanya donor functions kwa niaba ya who .je rihana ni mfanyakazi who?Kwamba mialiko ya Kanisa la KKKT anaitoa Mbowe ! kwamba yeye ndiye Askofu wa Kanisa hilo au mimi sijaelewa ?