hatufai bora mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi. Wee utamtumikiaje mtu mwenye cheo cha juu hana staha hata rambirambiHushangai yule aliyewaambia watumishi wake
Hawa musiwabomoleshe nyumba zao kwa kuwa walinipigia kura
Wakati huo huo ameboa nyumba zetu Morogoro road.
Isnt it obvious that the guy is sick ?
Mkuu, kwani wewe unaelewaje the term 'mabeberu'?Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.Ka ma taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Teuzi mind!SLAVE MIND.
Huko Lumumba tu!Inasikitisha sana...
Excuse ya rais Magufuli this time ilikuwa ni ipi hadi HAKWENDA kwenye misiba yote miwili?! Au ni kwasababu alikuwa chato?!
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!