mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Wewe ndiyo unajivua nguo na kuonyesha jinsi kichwa chako kilivyobeba kamasi.Bulaya anajisahau sana,hata ukiwa mpinzani kuna makombora ya kurusha
Huko ni kujivua nguo hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo unajivua nguo na kuonyesha jinsi kichwa chako kilivyobeba kamasi.Bulaya anajisahau sana,hata ukiwa mpinzani kuna makombora ya kurusha
Huko ni kujivua nguo hadharani
Wataamua wapiga kuraHawa hawatakiwi kurudi bungeni 2020
Ushawahi kushauriana na JIWE?Mkuu kwa nini huyo mbowe asiwe anatoa ushauri kusapoti jinsi ya kupambana na korona.kuliko kupinga kila juhudi ya mheshimiwa.
Mimi naamini kazi moja wapo ya upinzani sio kupinga tu bali hata kuishauri serikali
Mafile ya vichaa huwa ni siri pia kama jina lako lilivyoHarudi tena bungeni huyo.
hujajua serikali ni muhimili mzito zaidi au huelewi!!!!Rasi anatoa eti INSTRUCTIONS watu wasilipwe uko ni kuingilia mamlaka ya bunge. Uganda tumeshuhudia spika mwanamke akimchimbia biti Museveni. Huo ndo utawala wa bunge. Raisi hana mamlaka ya matumiz ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu. Ni Tanzania pekee yanapotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
acha maneno ya hovyo nduguBeberu tu? Mi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi 😂 unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa, kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.
Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
Wewe mbona kama umechamganyikiwa? Au unafikiri uko facebook hapa?Kubabako mamako na juha wenu ndo tunawasubir na hawatarud poyoyo wewe.
punguza stress maisha ni mafupi sana mkuu.We utanitumikia mtu mjinga anayekimbilia chato.....watu wanakufa kwa kasi ya 4G ww unawadanfanya wananchi umekimbilia kujificha polini?
Mbwa zu ndo watakutumikia wale walamba makalio kwa ajili ya vyeo pale lukumba
Harudi tena bungeni huyo kubabake.
Beberu tu? Mi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi [emoji23] unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa.
Kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.
Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
SLAVE MIND.
Rais ni taasisi inayojitegemea na ni kundi kubwa la watanzania, hivyo jiandae kwa kauli yako ya kulinganisha taasisi na mbwaBeberu tu? Mi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi 😂 unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa.
Kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.
Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
Kauli Kama hii ilitolewa na baadhi ya vijana wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam mwanzoni mwa miaka ya 60 wakikataa uamuzi wa kwenda Jeshi la kujenga taifa (JKT) na watumishi wa serikali kukatwa asilimia 40 ya mishahara yao...wakipinga haya wanafunzi hao walidai afadhali ya mkoloni...Nyerere akatoa speech Kali ya kihistoria ambayo baadaye iliwekwa kwenye kajitabu kadogo...wanafunzi hao wote wakafukuzwa Chuo na baadhi yao tunaelezwa baadhi yao walichapwa viboko (Sina hakika na hili) na Nyerere mwenyewe ambaye tunaelezwa alishika bakora kuwatandika watukutu hao waliodai eti afadhali ya mkoloni...nilikuwa mdogo Sana kipindi hicho nadhani nilikuwa darasa la kwanza...ila nilimuona kijijini kwetu mmoja wa waliotimuliwa chuoni aliporejea kijijini..sisi watoto wakati akipita mitaani tukawa tunamchungulua tukimshangaa kwamba naye ametimuliwa kwa kudai afadhali mkoloni..Dam55 unakataa nini? Nakwambia afadhali ya Mkolonii. Nambie Mkoloni aliwaua wangapi? Aliwapoteza wangapi? aliwafunga wangapi kwa makosa ya money laundering , sabotage or like charges. Sedition charge waaafrika madikiteita wanaitumia kuliko alivyoitumia mkoloni. AFADHALI YA MKOLONI