Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu JKN alikwisha tabiri kuhusu wanasiasa wenye ' Tabia za Kimalaya Malaya'Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Unanipa ushauri avatar yako tu ovyo. Em nenda kadhauri mtu mwingine kwanza ukimaliza urudi tuongee. Kama ni kutafutwa tayari natafutwa sana tu hata pm wanakuja wakijifanya wadada ili nitoe namba za simu.Kua na akiba ya maneno dada, haya uliyoandika nakushauri uyafuta sasa hivi. Chukuabushauri wangu kama unajithamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha.OVAHuu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Angesubiri Halima Mdee aongee ndio na yeye aongee. Sasa si unaona kaongea pumba tu. Kile cheo wamempa tu lakini hakimudu. Yaani cheo alikuwa nacho Lisu mwanasheria mbobezi, leo cheo hicho hicho anapewa dada wa form 4 aliyesomea uandishi chuo cha times pale Buguruni malapa.Bulaya anajisahau sana,hata ukiwa mpinzani kuna makombora ya kurusha
Huko ni kujivua nguo hadharani
Kwani bila kuwepo bungeni atakufa njaa?Harudi tena bungeni huyo.
Mabeberu wako busy kuokoaa maisha ya watu wao ni wengine ila utaona maajabu ya jiwe eti wanatumiwa na mabeberu loh.Najiuliza hv huyu bwana mkubwa asingeenda shule angekua na tabia za ajabu zaid ya id amin.Kuna kauli anaongea mpk unashangaa alivyoinconsistency kwenye hoja zake unapata tafsir kwamba anajiona anajua kila kitu wakati anajifedhehesha. A Boss is always right hajaielewa vzrHuu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Yule aliyetoa amri wabunge wanawake wapigwe na TISS waliovaa mavazi ya magereza na kuvunjwa vunjwa? Yule aliyepania wabunge wafungwe hola hatia? Yule aliyeruhusu Alina mawazo wakatwe mapanga na mashoka? Yule aliyeagiza Ben saanane auawe? Yule aliyeagiza watu zaidi ya mia mbili wazamishwe baharini kwenye viroba? Yule aliyeagiza mbunge kupigwa risasi arobaini? Yule aliyekataa aliyetaka kuombewa asiombewe? Yule aliyeagiza mgonjwa asitibiwe?Rais anatoa eti INSTRUCTIONS watu wasilipwe uko ni kuingilia mamlaka ya bunge. Uganda tumeshuhudia spika mwanamke akimchimbia biti Museveni. Huo ndo utawala wa bunge. Raisi hana mamlaka ya matumiz ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu. Ni Tanzania pekee yanapotokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh noma kajidhihirisha waziwaziHuu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Ujumbe murua kabisa......!! Si CCM wanadai kuwa Wapinzani wananatumiwa na Mabeberu....!! Tatizo Yohana hatafurahi kusikia hayo.... Dada ajiandae kuhojiwa na kulala mahabusu.Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Hivi ni nani nchi hii hatumikii mabeberu?Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Hawalioni hilo mkuu. wanaona za wapinzani tu. Kimara walibomolewa, lkn Mwanza hawajabomolewa. Tufunike kombe mwanaharamu apiteHushangai yule aliyewaambia watumishi wake
Hawa musiwabomoleshe nyumba zao kwa kuwa walinipigia kura
Wakati huo huo ameboa nyumba zetu Morogoro road.
Isnt it obvious that the guy is sick ?
Sijajua hasa wewe unaelewaje mkuu Ila mimi ninachojua hawa watu kwa miaka karibu 200 walikuwa wakituuza masokoni kama nyanya na kuku wa kienyeji kwangu Mimi hawana jema hata kama wakitupa misaada lakini najua misaada hii ilitokana na babu zetu kuuzwa kama viazi.Mkuu, kwani wewe unaelewaje the term 'mabeberu'?
Nadhani wewe utakuwa ni mmoja wa wale wa kuzaliwa mbwa ulaya kuliko kuwa binadamu Africa.Beberu tu? Mi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi 😂 unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa.
Kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.
Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
Mkuu unadhani kama angekuwepo Ikulu tusinge ongea haya.Yupo sahihi. Raisi huwa Nampa bigup anapofanya vena Ila kwa Hilo aondoe siasa. Bahati nzuri Alison's sayansi huwa Ni uhalisia tu sio makisio. Na hasa suala Hilo ambalo hata yeye limemuondoa ikulu. Mh. Please Mungu amguse aone umhimu wa uhai wa wapiga kura wake.