Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Kaongea kauli mbovu kabisaHuu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Kakosa busara, weledi, utashi na uzalendo
Wabunge wa Aina hii wanaaibisha Sana vyama vya upinzani