Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Utachagua mbwa kwa sababu una uumbwa ndani yako. Yaani una mawazo na fikra za ki-mbwa mbwa. Mfano lazima ufuate kama mabwana zako wa magharibi walivyo fanya! Kumtii bwana!Beberu tu? Mi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi 😂 unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa.
Kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.
Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
Magufuli hajasema haamini uwepo wa corona, lakini wewe unasema haamini! Amesema watu wachukue tahadhali - wewe unasema ajichanganye! Unahitaji kufungwa mnyororo shingoni hata wakati wa kwenda kumpigia huyo mbwa kura. Maana tafauti hatutaiiona bila kufungwa mnyororo.