Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yoote umeyasema lakini kiini cha tatizo ni hapa uliposema "Any civilization that know what they want always reachs their destinations, do we know what we want we as Africans?" Hili ndio tatizo, hasa kwa viongozi wetu. Na ndio maana tunakwenda mbele miaka 10, halafu tunarudi nyuma miaka kumi. Over.....Kama kumsikiliza Prof Lumumba na kumuelewa hilo kwangu ni jambo la kila siku, sidhani kama kuna siku inapita bila kusikiliza speech zake.
Ubaya wa viongozi wa Africa uko wazi kabisaa hili halina ubishi, wapenda madaraka ni wengi sana, hawana maono yoyote na muelekeo wa bara la Africa.
Na wengi wao wanatumiwa na hao hao wazungu kukandamiza waafrica wenzao kwasababu ya tamaa za matumbo yao, hawajali uafrica wao na hawajui nini tunahitaji sisi kama Africa.
Any civilization that know what they want always reachs their destinations, do we know what we want we as Africans?
Umesema vema watu watakimbilia ulaya ndio watakimbilia huko, Ila unajua ni kwanini watakimbilia Ulaya.?
Is this not because of poverty in Africa? If that is true, it this not because of white's exploitation our resources?
Do you remember the Briton Wood Institution and their restrictions to Africa?
do you remember the Brandit report commission to Africa?
Don't you remember the new colonial project?
How about globalization is this a good thing to Africa.?
Why do always they threaten us by sanctions?
Watu wetu wanakimbila ulaya kwasababu ya umasikini tulio nao na umasikini huu haukusababishwa na viongozi we pekee japo nao ni majipu yaliyo iva, ili unyonyaji tulio fanyiwa na tunao endelea kufanyiwa ndio sababu ya umasikini huu mkuu. na hata akitokea kiongozi mwenye maono mazuri bado tu atapigwa na hao wazungu.
Ameshazoea kuzurura si unajua Tena tabia za muhuniHuyo hawezi kwenda kujificha hai vijijini
Magufuli ni raisi wa aina gani ambae anakimbia ikulu na kwenda kujificha kwake kijijini
Yote ni majina yao, matumizi ya hayo majina inategemea tu na wakati.Hivi ni Mabeberu au *Wahisani*?
The true revolution comes from inside yourself....!
Mbwa ni mbwa tu hata umpe jina zuri atabaki kuwa mbwa tu, beberu ni beberu hata aitwe muhisani/mfadhili ni beberu tuYote ni majina yao, matumizi ya hayo majina inategemea tu na wakati.
Mfano Wakichangia bajeti yetu au kutupatia misaada tutawaita wahisani au washirika wetu wa maendeleo.
Wakitukosoa kuhusu demokrasia au haki za binadamu tutawaita mabeberu.
Hivi Kuna watu wa ajabu Sana . We unadhani cheo Cha uraisi ni Cha mbinguni Kama Mungu kwamba huwezi kumjibu zaidi ya kumuomba. Acha fikra potofu kiasi hicho. Raisi wa nchi au taasisi yoyote Ni binadamu na anaweza kufanya makosa sio Mungu hata wenyewe maraisi duniani wanajijua kuwa Ni wanadamu kumbuka Hilo usijempa utukufu wa Mungu wa kutoulizwa au kubishiwa jambo.Mimi nimejaribu kuongea na mbowe anipe nafasi ya political consulted pale ufipa,lakini anajivuta vuta Sana,,
Bulaya Wala haihitaji kumjibu hivyo rais,hi inakuwa na negative impact kwao,wanapoanza kujibishana na rais Kama waki kwenye ngonjera,
What they need to do,is to make their point and keep quiet letting things flow,
Mwisho wa siku mda utaamua Nani alikuwa sawa
Sasa mkuu ndio uone hapo kuwa wakati mmoja napambana kupinga ukoloni mambo leo na unyonyaji, kiongozi mwingine anakuja hadharani anasema bora awatumikie hao hao wanyonyaji.Yoote umeyasema lakini kiini cha tatizo ni hapa uliposema "Any civilization that know what they want always reachs their destinations, do we know what we want we as Africans?" Hili ndio tatizo, hasa kwa viongozi wetu. Na ndio maana tunakwenda mbele miaka 10, halafu tunarudi nyuma miaka kumi. Over.....
Cha ajabu ni nini kwenye huo ujumbe? Mimi nimeuelewa vizuri ujumbe huu kuliko kituko cha mzee wako. kama ni alma za uandishi na uwasilishaji wa hotuba ila ningeipa 0%Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Sas kama huo ugonjwa haupo na yeye hauogopi si aende kuwatembelea wale wagonjwa pale Amana na kukumbatiana nao?Beberu tu? Mimi ukiweka mbwa nimpigie kura leo jiwe atoke nitampa mbwa. Jitu limejifungia linasema hamna korona huku lenyewe ukiliambia litoke lisimame mbele ya watu haliwezi 😂 unasikia tu chapeni kazi, mara kaanza kuwalaumu na viongozi wa dini kufunga makanisa.
Kama ye mbabe asikae anaitisha waandishi wa habari wanakaa mbali, ajichanganye na watu kama zamani tuone kua kweli haamini uwepo wa hii kitu.
Kelele nyingi matendo zero. Haijawahi tokea dunia nzima, ni aibu kubwa kaletea watanzania huyu kilaza
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......... Juzi nikamsikia akisema, tunawaomba watusamehe madeni tuna tatizo la korona halafu hapo hapo anasema, mabeberu, hakuna korona, mara anapeleka mapapai maabara kuharibu vifaa vyetu. Kituko cha mwaka hiki. halafu anaziamini sana dawa za Sangoma, kwa nini?Mabeberu ndio tunaowaomba watupe mikopo isio na riba au watusamehe kulipa madeni kipindi hiki cha corona.
Pole sana kwa kuwa na akili fupi na ushamba bila busara, kwanza hata siku moja haitatokea muingereza kukaribisha wanaotaka kwenda nchini kwa bila sababu au uhusiano na muingereza yeyote, unafikiri hivyo sababu ya ushamba wa kufikiri Ulaya ni mahali penye pesa za bure kwa wote wakati kuna ombaomba mitaani na wengi wanaumasikini wa kutupa.Inabidi umsikilize Prof Lumumba uelewe watawala wetu ni watu wa aina gani? Na kuwa wakati ule tulilazimishwa kwenda ulaya kama watumwa, leo tunkufa baharini tukiwakimbia viongozi wetu kwenda Ulaya- Ni maneno ya msomi Prof Lumumba.
Ukitaka kujua kama leo hii muingereza ni mzuri au mbaya, lete meli 100 zile kubwa, halafu waambie watanzania wanaotaka kutupilia mbali uraia wa Tanzania na kwenda kuishi uingereza wapande hizo meli. Sijui kama kuna meli itarudi Tupu.
Najua sisi ni wazuri wa domo, licha ya macho yetu kuona ukweli.
Inafaa mbowe aende sababu Hana umuhimu wowote Ni muhuni tu raisi aende kufanya nini raisi atulie wateule wake wanapiga kazi aende muhuni mbowe au malesbian kina bulaya na mdeeSas kama huo ugonjwa haupo na yeye hauogopi si aende kuwatembelea wale wagonjwa pale Amana na kukumbatiana nao?
Mbona alikuwa anaenda mhimbili kuwatembelea wagonjwa akina Mangula na wengineo. Ila maana upendo umepoa?Inafaa mbowe aende sababu Hana umuhimu wowote Ni muhuni tu raisi aende kufanya nini raisi atulie wateule wake wanapiga kazi aende muhuni mbowe au malesbian kina bulaya na mdee
Ni kituko cha karne. Nani alimsukumiza kwenye madaraka?Tuna rais wa ajabu haijawahi kutokea
Sasa mnapokea misaada yao ya nini wakati mnajua ni wabaya?Sasa mkuu ndio uone hapo kuwa wakati mmoja napambana kupinga ukoloni mambo leo na unyonyaji, kiongozi mwingine anakuja hadharani anasema bora awatumikie hao hao wanyonyaji.
How comes?
Hawa watu hata kama wanatupa misaada ya namna gani hawawezi kuwa wema hata siku moja mkuu.
Unafikiri raisi mjinga Kama wewe akifa wakati bado tunamuhitaji miaka mingine mitano? Akifa mbowe hakuna shida Hana faida yoyote wanao muhitaji mbowe Ni kikundi Chake cha wahuni tu sisi tunawaza mbali mh raisi bado ana miaka mingine mitano ya kuongozaMbona alikuwa anaenda mhimbili kuwatembelea wagonjwa akina Mangula na wengineo. Ila maana upendo umepoa?
Nini kitamuua?Unafikiri raisi mjinga Kama wewe akifa wakati bado tunamuhitaji miaka mingine mitano? Akifa mbowe hakuna shida Hana faida yoyote wanao muhitaji mbowe Ni kikundi Chake cha wahuni tu sisi tunawaza mbali mh raisi bado ana miaka mingine mitano ya kuongoza