Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali
Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi

Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao?

Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu!

Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?
Wacha upumbavu wewe!!! yule ni muwakilishi wa wananchi na yeye anafanya kazi ya kuwawakilisha wananchi na pia yeye bulaya alichaguliwa na wananchi wala hakuchaguliwa na rais wala serikali! Wanachokifanya chadema ni kulinda uhai wao kwa hali na mali.... meko kajichichimbia kwao wewe unadhani kwanini meko kajichimbia kwao? akili za kuambiwa mix na za kwako
 
Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali
Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi

Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao?

Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu!

Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?
Sio mzima huyo angekuwa mzima asingeolewa na mwanamke mwenzake
 
Yule dada sikudhani km anadharau kiasi hiki
Lkn tutamfundisha kwenye boksi la kura kuwa usaliti haufai
Kama ni hako, ni ka mtu ka hovyo tu! Ufahamu ni mdogo. Huyo ni mmoja wa watu wanaojifanya kama mnyama wa mwituni, yaani asifiwe kwa ushujaa wa kushambulia wengine badala ya kutumia akili.
 
Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali. Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi. Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu.

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao? Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu! Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?

Kwani analipwa bure?
 
Ndugu zangu Watanzania kuna mbunge yeye amekiri hadharani bora atumikie Mabeberu kuliko kutumikia serkali
Amesema yeye anaona fahari zaidi kutumikia Mabeberu

Huyu ni Kiongozi mwakilishi wa Wananchi, analipwa mamilion kila mwezi

Lakini kwa dharau anatuambia anaona fahari kutumika na Mabeberu

Nauliza tu kisheria hawezi kupoteza ubunge wao?

Ni kweli demokrasia tu imemfanya awe na kiburi kiasi hiki? Au kuna watu kutoka nje wanamtumia kuharibu Amani ya Nchi yetu!

Kwanini vyombo vya dola visimuhoji?
Huyu hatufai ,abaki kuwa mbunge wa twitter,mdomo umeponza kichwa,sidhani kama wapiga kula wake wanahaja nae tena,kajimaliza mwenyewe,pia nahisi anavutishwa ganja na kina mdee ,hakuwaga hivi Easter Bulaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayewakilisha Wananchi hawezi kutumika na Mabeberu

Bulaya ameonyesha ujinga wa hali ya juu

Tunamwonyesha hasira zetu October
wacha upumbavu wewe!!! yule ni muwakilishi wa wananchi na yeye anafanya kazi ya kuwawakilisha wananchi na pia yeye bulaya alichaguliwa na wananchi wala hakuchaguliwa na rais wala serikali! Wanachokifanya chadema ni kulinda uhai wao kwa hali na mali.... meko kajichichimbia kwao wewe unadhani kwanini meko kajichimbia kwao? akili za kuambiwa mix na za kwako
 
Nipe tafsiri ya BEBERU
Hii hapa
tapatalk_1588529909721.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom