hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Analipwa kodi za Watanzania bado Anasema yupo tayari kutumika na Mabeberu ?
Huyu ingekuwa China tusingemuona tena
Mbona China wapo wanaotumikia mabeberu wa Marekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analipwa kodi za Watanzania bado Anasema yupo tayari kutumika na Mabeberu ?
Huyu ingekuwa China tusingemuona tena
wacha kutumia akili vibaya! meko alipokuambia mjifukize watu hawakujifukiza?? je waipojifukiza hawakufa ?? wahakuugua? hii li kolona lipo na linachinja kwelikweli..... kama hispania...usa....england....rusia..egypt... n.k hili dude linawatesa vbaya mno ww undhani tz lisitutese kwa nn?Mtu anayewakilisha Wananchi hawezi kutumika na Mabeberu
Bulaya ameonyesha ujinga wa hali ya juu
Tunamwonyesha hasira zetu October
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Hakuna Cha kumuuwa labda atake MUNGU tu na hizo porojo zenu eti raisi ajitokeze ajitokeze wapi? Mtaa wa ufipa au mloganzila? Bungeni? Au azurure tu Kama DJ makengeza? Mnataka inchi hata utaratibu wa uongozi hamuujui, uraisi sio sawa na kushika santuri bilicanasNini kitamuua?
Msukule hujielewi upo upo tu umekuwa tarumbuta la DJ makengeza hujui hata unachokibishiaWe robota unakula matunda ya uvuvuzera hata Idd Amini alikua na majitu mengi kama wew hivyo hatuwez kuelewana.Endeleaa kutoa maushuzi
Kama dj mbowe kapata ziro unamuonaje alivyokufanya msukule wake[emoji23][emoji1787][emoji2960]Mzee sasa umeanza kutulisha matango pori. Umesema huyu bwana mkubwa ameenda shule??? Jamani watu walioenda shule wanafanana hivyo kweli?
Mtu anae jielewa ataolewa na mwanamke mwenzake?Bulaya nilikuwa namuona ni mtu anayejielewa kichwani kumbe wale wale km walioko Chadema
Mbunge unawakilisha Wananchi unaropoka vitu vya hovyo hovyo
Your mental falcuty is egantly detrimental.Kubishana na jitu kama wew bwabwa ni kuharibu reputation ya great thinkers humu.Msukule hujielewi upo upo tu umekuwa tarumbuta la DJ makengeza hujui hata unachokibishia
Great thinker wa matusi? Sio wa hojaYour mental falcuty is egantly detrimental.Kubishana na jitu kama wew bwabwa ni kuharibu reputation ya great thinkers humu.
Umeumia kiasi mheshimiwa kwenda likizo?Huyo hawezi kwenda kujificha hai vijijini
Magufuli ni raisi wa aina gani ambae anakimbia ikulu na kwenda kujificha kwake kijijini
Mwenye busara hujua lipi lakujibu kwa kauli, lipi linajibiwa kwa ukimya.Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.
Nanukuu
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.
Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Likizo vitaniUmeumia kiasi mheshimiwa kwenda likizo?
Unataka akae reception pale mloganzila, au ashike bomba la sindano pale muhimbili?Likizo vitani
Hakuna Cha kumuuwa labda atake MUNGU tu na hizo porojo zenu eti raisi ajitokeze ajitokeze wapi? Mtaa wa ufipa au mloganzila? Bungeni? Au azurure tu Kama DJ makengeza? Mnataka inchi hata utaratibu wa uongozi hamuujui, uraisi sio sawa na kushika santuri bilicanas
Yaani huyu kweli mpumbavu. Kwani anamtumikia Magufuli au watanzania? Yaani Bora mabeberu kuliko watanzania?Wapinzani akili zao wanazijua wao wenyewe...halafu ndio wanataka wakabidhiwe nchi [emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Naona chizi utakuwa wewe sio nyie mlikuwa mnapinga mnasema raisi anazurura leo mmesahau mnamtafuta Tena mnasema haonekani! Sasa nani chizi hapa!Kwel ww chizi hukuona zle ziara zake zczokuwa na idadi huku akiwanunulia watu mapapai au ulikuwa mdogo?
Sent using Jamii Forums mobile app