Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Pole sana kwa kuwa na akili fupi na ushamba bila busara, kwanza hata siku moja haitatokea muingereza kukaribisha wanaotaka kwenda nchini kwa bila sababu au uhusiano na muingereza yeyote, unafikiri hivyo sababu ya ushamba wa kufikiri Ulaya ni mahali penye pesa za bure kwa wote wakati kuna ombaomba mitaani na wengi wanaumasikini wa kutupa.
Cha pili kama ikitokea hivyo watakao kimbilia meli ni wale wanaofikiri Ulaya kunawapa utajiri watu wote waliopo hapo, yani wajinga na washamba wasiojua Ulaya hasa Uingereza nilipo ni wabaguzi sana kwa mataifa yote hata ya Ulaya, Asia hasa Afrika.
Unafikiri wazungu ni bora sababu umefutwa akili na ukoloni na kuona wazungu ni miungu na majibu ya umasikini, lakini umasikini wa akili ulionao ni hatari kuliko wa pesa, wala hujui wewe ni masikini sababu ya wazungu, maisha yako ni mafupi sababu ya wazungu. Afrika nzima inaamka na kujua wazungu ni maadui wakubwa kiuchumi na kijamii lakini sie watanzania ni wajinga sana kufikiri wazungu ni wakombozi na bora kuliko sisi, tunaita self hate, you hate yourself and see whites are better, SUPER SHAME ON YOU.
Pole sana Mheshimiwa Masi Lambo. Jinsi ulivyojibu kwa hisia, nakuelewa na kuelewa mazingira uliyokuwemo.
Ninachoweza kusema, usikate tamaa haluta kontinua.
La mwisho: Ukishindwa kupambana nao, jiunge nao. Nafikiri huko ndiko Mwinyi alikojisalimisha nako, baada ya vita alivyopigana Nyerere kukiri kuwa hatashinda. Na hata Nyerere mwenyewe alimuunga mkono, na ni safari iliyodumu mpaka leo. Ikiwa pamoja na soko huria, kuita wawekezaji, kuanzisha vyama vingi (demokrasia) nk. Hivi vyote mlango Wake ulifunguka wakati wa Mwinyi.