Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.

Nanukuu

"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"

Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.

Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Yupo sahihi. Rais huwa Nampa big-up anapofanya vena Ila kwa Hilo aondoe siasa. Bahati nzuri Alison's sayansi huwa Ni uhalisia tu sio makisio. Na hasa suala Hilo ambalo hata yeye limemuondoa Ikulu. Mh. Please Mungu amguse aone umuhimu wa uhai wa wapiga kura wake.
 
Bulaya yuko sahihi Magufuli hafai ajiuzulu
Kwa kosa gani? Ku verify na kuthibitisha kwamba matokeo mengi ya Corona ni fake? Acheni kujitoa ufahamu. Palipo tatizo kama palipo jema lazima pabainishwe na kufanyiwa kazi.

Hongera sana rais John Pombe Magufuli!.
 
Bulaya anajisahau sana,hata ukiwa mpinzani kuna makombora ya kurusha
Huko ni kujivua nguo hadharani
Mabeberu ni kina nani? Mbona nchi hii tunakuwa kama vichaa nchi hii!
Leo wanaotukosoa huko nje tunawaita mabeberu, kesho wakitupa misaada na mikopo tunawaita "wadau wa maendeleo"!
Sio fair mtu mmoja akiamua kujitia ukichaa basi nchi nzima tujifanye wote vichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe akili zenu nan anazijua.
Mkuu kwa nini huyo Mbowe asiwe anatoa ushauri kusapoti jinsi ya kupambana na Corona kuliko kupinga kila juhudi ya mheshimiwa.

Mimi naamini kazi moja wapo ya upinzani sio kupinga tu bali hata kuishauri serikali
 
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.

Nanukuu

"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"

Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.

Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Ni Mara Mia wakoloni weupe kuliko mkoloni mweusi asiye na staha kwa weusi liendalo kama gari bovu
 
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.

Nanukuu

"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"

Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.

Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!
Kuna shida mahali. Mh. Rais anatakiwa awe mwangalifu katika kauli zake. Anapenda sana kulitumia hilo neno 'mabeberu', kwa mambo ambayo hana uhakika nayo. Mtu yeyote akiwa tofauti na mawazo yake, basi huyo anatumika na mabeberu. Kiongozi hustahili kuwa hivyo. Usifiche udhaifu kwa kuwakejeli wanaokukosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rasi anatoa eti INSTRUCTIONS watu wasilipwe uko ni kuingilia mamlaka ya bunge. Uganda tumeshuhudia spika mwanamke akimchimbia biti Museveni. Huo ndo utawala wa bunge. Raisi hana mamlaka ya matumiz ya bunge kwa mujibu wa katiba yetu. Ni Tanzania pekee yanapotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni kwenye Utawala wa sheria
 
Kuna ahida mahali. Mh. Rais anatakiwa awe mwangalifu katika kauli zake. Anapenda sana kulitumia hilo neno 'mabeberu', kwa mambo ambayo hana uhakika nayo. Mtu yeyote akiwa tofauti na mawazo yake, basi huyo anatumika na mabeberu. Kiongozi hustahili kuwa hivyo. Usifiche udhaifu kwa kuwakejeli wanaokukukosoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakomunist na wajamaa wote ndio walivo ufichia udhaifu wao au kushindwa kwao kwa kuwalaumu mabeberu
 
"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
Dam55 unakataa nini? Nakwambia afadhali ya Mkolonii. Nambie Mkoloni aliwaua wangapi? Aliwapoteza wangapi? aliwafunga wangapi kwa makosa ya money laundering , sabotage or like charges. Sedition charge waaafrika madikiteita wanaitumia kuliko alivyoitumia mkoloni. AFADHALI YA MKOLONI
 
Huu ndio ujumbe alio utoa mbunge wa Bunda mh Ester Bulaya kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya hotuba ya Rais.

Nanukuu

"Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"

Hizi ndio kauli za viongozi walio chaguliwa na wananchi na kupewa dhamana ya kuwawakirisha bungeni.

Kama taifa bado tuna safari ndefu sana Mungu atusaidie.!!

Hawa hawatakiwi kurudi bungeni 2020
 
Back
Top Bottom