Ester Bulaya: Ni bora sisi tuwatumikie mabeberu kuliko kukutumikia wewe!

Hivi uliwahi hata kuona mlango wa jengo la chekechea?
 
Bora amtumikie Mdee
 
Ila kuwa mpinzani haimanishi ndo utaki ata kuwatumikia wananchi wako walio kupa kura kwenda bungeni kwa kupinga kila kitu

Ila tanganyika tuna misemo, ^^Eti wapinzani ni sawa na Corona^^, nao wakajibu ^^Ni bora sisi tuendelee kuwatumikia mabeberu kuliko kukutumikia wewe"
 

Hapa hakuna siasa bali ni chuki binafsi. JNini chanzo chake? Kinatatulika ili tufike kule tunakopenda kufika?
 
Je BEBERU ni mtu wa namna gani? Ni nani aliyeibua hoja ya mabeberu kwamba yamewanunua baadhi ya watanzania hasa watumishi wa umma, Je huyo ana position gani mwenye nchi? Nini athari ya kauli yake mwenye uhusiano wetu na mataifa mengine? Na haya mabeberu yamewanunua hawa watumishi wa umma kwa malengo gani hasa?

Hii ndiyo hoja ya kujadili hapa!!
 
Mabeberu ndio tunaowaomba watupe mikopo isio na riba au watusamehe kulipa madeni kipindi hiki cha corona.

Huyu Magufuli na CCM yake ni majanga kwa Tanzania! Kipimo cha Kiongozi Bora ni pamoja na kuwa na BUSARA na HEKIMA.
Inasikitisha kuwa na Rais Kama huyu ambaye anaweza Kuropoka chochote bila kujali kauli zake zinaweza kuwa na madhara kiasi gani kwa Tanzania.
Bajeti ya Tanzania ina 40% tegemezi toka kwa haohao Wafadhili anaowaita MABEBERU.
Tumemskia Rais huyuhuyu akiomba KUSAMEHEWA MADENI na haohao anaowaita mabeberu KIPINDI HICHI CHA KORONA!!
Huu ni ukigeugeu uliopitiliza. Rais kigeugeu ni hatari Sana kwa mustakabali wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…