Hamna tatizo atapewa haki zake zote kwa mujibu wa katiba iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Let them dig their own grave.Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Huo ndio utaratibu wa kisheria wa kumkamata mhalifu?Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
True jiwe linajikaanga kwa mafuta yake lenyeweLet them dig their own grave.
Mwambieni Magufuli ASIWAJARIBU KABISA PENTAGON.
Pentagon wamekwisha kumuonya JIWE na hasikii, LUMUMBA mwambieni Mzee wenu PENTAGONI ni makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la Marekani.
Think Tank haina mchezo. Atabiduliwa
A Boers' era?Mara 100 beberu atutawale kuliko magufuli
Wanasaidia kutunza ushahidi kwa kweli police wanafanya kazi nzuri Sana ya kuibomoa ccm ichukiwe na watzAliyechukua video kafanya jambo jema sana
Nakushangaa Sana kwa jinsi unavyotetea unyanyasaji wa raia ambao hatia zao hazijathibitishwa na mahakama! Ungetuhumiwa wewe au ndugu yako Kisha akatendewa vile ungekuwa na ubavu wa kuandika ujinga huo? Uwe unawaza kabla ya kuandika mashudu yako! Nimekudharau Sana!Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?
Hata hivyo wanasukuma watu kwenye machafuko. Sijawahi kuona uchaguzi wenye vituko kama huu tangu nchi ipate uhuru. Hii ni ishara ya anguko la "System" iliyeko madarakani.Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mahakama ikikuthibitisha una hatia hupaswi kunyanyaswa, ILANakushangaa Sana kwa jinsi unavyotetea unyanyasaji wa raia ambao hatia zao hazijathibitishwa na mahakama! Ungetuhumiwa wewe au ndugu yako Kisha akatendewa vile ungekuwa na ubavu wa kuandika ujinga huo? Uwe unawaza kabla ya kuandika mashudu yako! Nimekudharau Sana!
Watz wapole sana , hawatakuwa tayari kupambana na jeshi la polisi la ccmHata hivyo wanasukuma watu kwenye machafuko. Sijawahi kuona uchaguzi wenye vituko kama huu tangu nchi ipate uhuru. Hii ni ishara ya anguko la "System" iliyeko madarakani.
Nyerere come back in all forms. Your country is in frames. The souls are burning.Kiongozi wa malaika akiona hivi ataagiza wapandishwe vyeo.kisha jumapili misa ya kwanza. Z
Sidhani na sifikiri hivyo Kama wewe! Angeambiwa kosa au tuhuma zake kistaarabu asingekataa kwenda kituoni na inavyoonekana hakuambiwa lolote na au alishatishiwa kukamatwa ili kumkomboa ndio maana alikuwa anajihami! Polisi wetu wanakosa ustaarabu wa kuarrest kwani hawakuambii tuhuma au kosa lako!Hata mahakama ikikuthibitisha una hatia hupaswi kunyanyaswa, ILA
Hapo huyo anaonekana kuna jambo kafanya ndio maana kakimbia mbio ndani, pia alipaswa kutokaidi , hapo anaonekana ameshika chuma kana kwamba hataki kuondoka, hivyo ni lazima polisi watumie nguvu
Kiungo unachotumia kufikiria kina walakini jaribu kutumia ubongo utakusaidiaKwa nini anakimbia police Kama Kweli yuko clean!?
Resisting Police arrest has never been a bad idea. Before arresting Polisi anawajibu kuyfanya, asipoufanya huo procedure nzima ya arresting ni illegal.Resisting a police arrest is just a bad idea. Kukamatwa na police, whether unaonewa au huonewi, sio mwisho wa safari. Ni utamaduni wa kupenda dramas zisizokuwa na tija yoyote!
Aliyepigwa risasi 2017Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokuja suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hakuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.