Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Acha uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia ni jambazi ngoja wampe kazi kidogo ya kufanya!Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Nawashauri polisi wakutafute na wakikupata wakushughulikie kisawasawa!! Au haupo TZBado nasisitiza, hawa polisi familia zao tunaishi nazo, kwann hatuwezi kukamata mtoto au mke tia bisu la shingo! Watatia adabu hawa mbwa
Kama alikuwa hataki kutii sheria bila shuruti unategemea wambembeleze!Kama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika
Gari ya mkaa imechemsha,valve zinachoma kwa mbali engine inakosa nguvuSasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Bado nasisitiza, hawa polisi familia zao tunaishi nazo, kwann hatuwezi kukamata mtoto au mke tia bisu la shingo! Watatia adabu hawa mbwa
Si bado amekamatwa lakini au?Polis na kikundi cha watu wasiojulikana wamechangia kupandikiza chuki na ndio sababu ya kukatakiwa kwa ssm,
Ila teknolojia inawaumbua vibaya sana huyo mlinzi kafanya vyema kukimbilia kwenye kamela ili kila kitu kionekane waze.
Mkuu series zinakudanganya kula ugali ulale achana na hizo mambo.Wajaribu tu siku moja wanikamate hivyo mkono ntakaowatembezea
kachukuliwa na polisi. shida iko wapi,maana polisi
Mawakala wa CDM wajipange vilivyo kwa recording...najua watakataliwa kuingia na simu ama wataamuliwa wazizime..ila njia zipo nyingi tuKyela tumejipanga kurekodi matukio kwa masaa 72 kila kituo
Dah Aisee!!!Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Acheni ujinga. 2007 Kenya waliuana kweli kweli lakini Uhuru na Ruto hadi leo wanadunda baada ya kuwamaliza mashahidi wote. Kama hamtatia bidii kuchukua madaraka hizo evidence zenu zitakuwa kwa ajili ya kumbukumbu za wajukuu wenu na msijidanganye na sanctions mara nyingi wanaumia wananchi na serikali zinaishia kuwa oppresive zaidi angalia Burundi na Zimbabwe. Upinzani msipoingia barabarani story zenu za kuchukua madaraka zitaishia midomo tu na kujaza server za mitandaoni.Tunawashukuru sana wazalendo wanaorekodi matukio haya ya kihalifu
Kwani kwa lissu mlifanyaje, si mliwatumia hao hao wahuni wenu sema ndo hivyo mpango ya ccm si mipango ya Mungu.Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokuja suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hakuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.
Sijaelewa majambazi wamewafugaje, sio haki kabisa hii ni nchi yetu sote nchi zote zilizoharibika amani mostly ni kwasababu ya polisi na vyombo vya dola kutumika kwa kuegemea upande mmojaSasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
PENTAGON ndio kina Amsterdam. Chama cha Mbowe, vibaraka wa mabeberu hamna chenu oct 28.Mwambieni Magufuli ASIWAJARIBU KABISA PENTAGON.
Pentagon wamekwisha kumuonya JIWE na hasikii, LUMUMBA mwambieni Mzee wenu PENTAGONI ni makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la Marekani.
Think Tank haina mchezo. Atabiduliwa