Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?
Nimegundua wewe sio mwanamke.
Hakuna mwanamke mwenye rohombaya kama uliyonayo.
Tena wewe Ni jambazi.
Ungekua mwanamke ungekua na huruma kwa mwanamke kufanyika hivyo.
Unaonekana ulishawahi kuua wewe maana sio kwa ukatili huo.
Siasa tu ndio onakufanya uwe na chuki kiasi hicho?
 
Nimeona Askari amempiga ngumi ya kalio Matiko

Hilo jeshi Sasa Lin vilaza wa kutosha sana

Hakuna weledi sio ajabu tunasikia kauli na amri za kijinga jinga

Halafu anatokea mpuuzi anaunga juhudi are you serious [emoji44]?
 
Mwanamke muuaji wewe,una rohombaya,huna huruma na mwanamke mwenzio.
Nimemuua nani??? Nimuonee huruma kwani amefanyiwa nini kibaya?? Mlinzi wake kakamatwa ndio aonewe huruma? Au unajua kinachoendelea?

Jiangalie sana maana mwenyewe hujitambui wala kujielewa. Kama wewe ni mwanaume nitasikitika sana maana huwazi kama mwanaume wala mwanamke ila unawaza kama kasuku
 
Kwa sababu huelewi ngoja nikuambie.
Hizo vurugu zote Ni kwa sababu mwanamke mwezio Esta anagombea.
Wamemkamata mlinzi wa Esta.
Ilikua Ni Vema kumweleza Esta kosa la kukamatwa mlinzi wake.
Umesikia wewe Jambazi?
 
Nimegundua wewe sio mwanamke.
Hakuna mwanamke mwenye rohombaya kama uliyonayo.
Tena wewe Ni jambazi.
Ungekua mwanamke ungekua na huruma kwa mwanamke kufanyika hivyo.
Unaonekana ulishawahi kuua wewe maana sio kwa ukatili huo.
Siasa tu ndio onakufanya uwe na chuki kiasi hicho?
Mwanamke kafanyiwa nn hapo? Au hujaelewa hata hiyo video inahusu nini? Huoni kama huyo Ester anazuia polisi wasifanye kazi yao when yeye mwenyewe hao polisi wala hawakuwa na mpango naye.
 
Kwa sababu huelewi ngoja nikuambie.
Hizo vurugu zote Ni kwa sababu mwanamke mwezio Esta anagombea.
Wamemkamata mlinzi wa Esta.
Ilikua Ni Vema kumweleza Esta kosa la kukamatwa mlinzi wake.
Umesikia wewe Jambazi?
Huko nje walikotoka na huyo mlinzi hadi akakimbilia ndani unajua walichomwambia?

Weee baba acha tabia za umbea😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom