lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nimegundua wewe sio mwanamke.Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?
Hakuna mwanamke mwenye rohombaya kama uliyonayo.
Tena wewe Ni jambazi.
Ungekua mwanamke ungekua na huruma kwa mwanamke kufanyika hivyo.
Unaonekana ulishawahi kuua wewe maana sio kwa ukatili huo.
Siasa tu ndio onakufanya uwe na chuki kiasi hicho?