Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Mwambieni Magufuli ASIWAJARIBU KABISA PENTAGON.

Pentagon wamekwisha kumuonya JIWE na hasikii, LUMUMBA mwambieni Mzee wenu PENTAGONI ni makao makuu ya ulinzi ya Jeshi la Marekani.

Think Tank haina mchezo. Atabiduliwa

Hizi ni fikra za ajabu sana! Tangu lini mtu mzima akatishiwa nyau?
 
Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Nakushangaa Sana kwa jinsi unavyotetea unyanyasaji wa raia ambao hatia zao hazijathibitishwa na mahakama! Ungetuhumiwa wewe au ndugu yako Kisha akatendewa vile ungekuwa na ubavu wa kuandika ujinga huo? Uwe unawaza kabla ya kuandika mashudu yako! Nimekudharau Sana!
 
Huyo Ester naye mnafiki tu. Anajifanya kujiweka katikati ili abutuliwe na askari atafute cha kubwabwaja kwa mabeberu. Mkiambiwa kutii sheria bila shuruti hamuelewi au?

Nadhani huo ni ugonjwa fulani (undiagnosed disease)!
 
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hivyo wanasukuma watu kwenye machafuko. Sijawahi kuona uchaguzi wenye vituko kama huu tangu nchi ipate uhuru. Hii ni ishara ya anguko la "System" iliyeko madarakani.
 
Nakushangaa Sana kwa jinsi unavyotetea unyanyasaji wa raia ambao hatia zao hazijathibitishwa na mahakama! Ungetuhumiwa wewe au ndugu yako Kisha akatendewa vile ungekuwa na ubavu wa kuandika ujinga huo? Uwe unawaza kabla ya kuandika mashudu yako! Nimekudharau Sana!
Hata mahakama ikikuthibitisha una hatia hupaswi kunyanyaswa, ILA
Hapo huyo anaonekana kuna jambo kafanya ndio maana kakimbia mbio ndani, pia alipaswa kutokaidi , hapo anaonekana ameshika chuma kana kwamba hataki kuondoka, hivyo ni lazima polisi watumie nguvu
 
Pamoja na polisi wao bado wepesi sana usiombe watu wabadilike wewe ngoja utaona wafanye uchaguzi wa Haki vinginevyo itakua shida maana hali inavyoneka si shwari hata kidogo.
 
Hata mahakama ikikuthibitisha una hatia hupaswi kunyanyaswa, ILA
Hapo huyo anaonekana kuna jambo kafanya ndio maana kakimbia mbio ndani, pia alipaswa kutokaidi , hapo anaonekana ameshika chuma kana kwamba hataki kuondoka, hivyo ni lazima polisi watumie nguvu
Sidhani na sifikiri hivyo Kama wewe! Angeambiwa kosa au tuhuma zake kistaarabu asingekataa kwenda kituoni na inavyoonekana hakuambiwa lolote na au alishatishiwa kukamatwa ili kumkomboa ndio maana alikuwa anajihami! Polisi wetu wanakosa ustaarabu wa kuarrest kwani hawakuambii tuhuma au kosa lako!
 
Resisting a police arrest is just a bad idea. Kukamatwa na police, whether unaonewa au huonewi, sio mwisho wa safari. Ni utamaduni wa kupenda dramas zisizokuwa na tija yoyote!
Resisting Police arrest has never been a bad idea. Before arresting Polisi anawajibu kuyfanya, asipoufanya huo procedure nzima ya arresting ni illegal.
 
A
Sio kweli? Nani ana akili mbovu kuratibu mauaji kwa kutumia mtu siku hizi? Lazima utakamatwa tu,unadhani kuua mtu ni rahisi? Lazima uwe smart.hao walinzi njaa tu .hamna kitu linapokuja suala la mipango nyeti kama mauaji.hizo ni propaganda tu.hakuna kiongozi yoyote wa upinzani ambaye ni tishio kufikia kuuwawa na CcM.
Aliyepigwa risasi 2017
 
Back
Top Bottom