Acha ujinga, sheria hizo zinamtaka akiona polisi akimbie? Tatizo hapo ni kukimbia. Mbona mwenzake hajasumbuliwa? Aibu mwanaume unakimbia polisi unakimbilia kwa mwanamke. Jinga kabisa.Hili tatzo wanalidharau lakini sio jema sheria zipo namna yakumkamata mtu inafahamika kwanini badala yakulinda amani wanavuruga amani
Hapana. Huyu yuko vizuri. Kwa matukio ya utekaji na utesaji wa miaka ya karibuni amefanya vizuri sana kukimbilia mahali ambapo kuna watu waelewa wanaoweza kuwasiliana na mawakili, na ameonekana wazi kukamatwa. Usikatae kukamatwa na polisi kama unajua kuwa ni polisi kweli, lakini katu usikubali kukamatwa ukiwa wewe na wao tu. Hata utaratibu wao hauruhusu hivyo. Hakikisha kuna shahidi wa kukamatwa kwako. Tii sheria, but stay safeAcha ujinga, sheria hizo zinamtaka akiona polisi akimbie? Tatizo hapo ni kukimbia. Mbona mwenzake hajasumbuliwa? Aibu mwanaume unakimbia polisi unakimbilia kwa mwanamke. Jinga kabisa.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Wakilianzisha utasikia wanataka kutuchafulia amani yetu,mara wametumwa na mabeberu......ila kiuhalisia hawakupaswa kumbeba hvyo maana wamekosa utu kulikuwa na haja hata ya kumsikiliza hoja zake then wakakubaliana na utaratibu ukafuatwa...Huyo mlinzi bonge la bwege, eti kakimbilia kushika chuma, sasa ndio nini?
Mlinzi gani huyo laini laini anakimbilia kushika chuma? Alafu wakiwa humu jf, wanajifanyaga wajuaji, ooh hatutakubali, safari hii sasa basi, mara ooh polisi tutakula nao sahani moja. Haya hao wapo wamekubeba mbele ya mabodyguard wenzio
Wakilianzisha utasikia wanataka kutuchafulia amani yetu,mara wametumwa na mabeberu......ila kiuhalisia hawakupaswa kumbeba hvyo maana wamekosa utu kulikuwa na haja hata ya kumsikiliza hoja zake then wakakubaliana na utaratibu ukafuatwa...
Amani hii tunayoichezea ipo siku itatoweka na tutaishi maisha ya digi digi kwa kuranda randa....Haki uinua Taifa.
Hiyo haikuwa sahihi na wala haikutakiwa kufanyika hata kama waliokamatwa walikuwa wakikaidi miito ya polisi.Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Hiyo haikuwa sahihi na wala haikutakiwa kufanyika hata kama waliokamwatwa walikuwa wakikadi miito ya polisi.
Hivi unaakili kweli au zimekuruka ingekuwa wewe umefanyiwa hivyo nyumbani kwako ungejisikiaje kwa mfano.Sasa kama wanafuga majambazi unataka polisi wawaachie tu? Eti huo ndio uhuru anaohubiri Tundu Antipas Mughwai Lisu.
Hivi unaakili kweli au zimekuruka ingekuwa wewe umefanyiwa hivyo nyumbani kwako ungejisikiaje kwa mfano.
Sasa subiri mashitaka atakayopewaJenga hoja zenye mashiko tukuelewe. Ni police force ya nchi gani inayobembeleza mtuhumiwa? Hata Vatican City ukileta za kuleta unalala chali.
Shukuruni hii police force yetu sio cruel na haina vitendea kazi vya kutosha. Mahali kwingine vichwa ngumu wa aina hii wanakuwa subdued by all means necessary; ikibidi kufa wafe! Wanapigwa taser mpaka akili inakaa sawa.
Sasa subiri mashitaka atakayopewa
Mbona inafahamika sana mjomba !Mimi na wewe hatujui kitu na wala hatuna sababu ya kupiga ramli.
Mbona inafahamika sana mjomba !
Yaani tuache ujinga utamalaki kisa hayatuhusu ! leo ni huyu kesho ni wewe , shetani hajawahi kuwa na rafiki , kama unabisha muulize Kinana alichofanyiwaThe alleging party bears the burden of proof. Wakimtuhumu kuwa ameiba ng’ombe, ni jukumu lao kuthibitisha hiyo tuhuma ya wizi wa ng’ombe. It’s none of our business!
Wewe wala sitakujibu maana huna unachokijua , Dotto Rangi moto alichukuliwa na mabunduki mengi kuliko hata haya ya Tarime , lakini umefuatilia kesi aliyopewa ? kashitakiwa kwa kumtumia hawara ake picha ya ngono !Siyo kweli kua hajulikani alipo pelekwa, kingine jiulize kwanini akimbie kama Ussen bolt baada ya kuona polis kama hakua na tatizo? Siasa tuweke kando katika mambo yanayo husu usalama
Yaani tuache ujinga utamalaki kisa hayatuhusu ! leo ni huyu kesho ni wewe , shetani hajawahi kuwa na rafiki , kama unabisha muulize Kinana alichofanyiwa
Mimi na wewe ndio tunafanya nchi iitwe Tanzania. Hivyo basi, usalama na mali ya raia yako mikononi mwa Polisi.Katika muendelezo wa ubabe kwa wapinzani, Jeshi a Polisi limevamia ofisi ya mgombea ubunge kupitia Chama cha Chadema Esther Matiko huko mara na kukamata kwa kutumia fujo kubwa.
Matukio haya hivi karibuni yameendelea kutokea nchini ambapo wagombea wa Chadema kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akifanyiwa fujo na polisi.
Hali hiyo haikumuacha salama mwenyekiti wa Chadema na hata mgombea urais wa Chadema.
Huu uonevu utakoma lini?