Mbona unazidisha unyumbu? Hakuna ishu kwenye mikutano mikutano ni sanaa tu! Mbona Magufuli anafunika Kila anapoenda?Hivi mikutano Mh Lissu anafanyia kwenye mitandaoni?? upo illogical sana kwanini kada? Ok lets wait and see.
Kwa hiyo huyo Mlinzi wa Matiko ndiyo kaamua kumletea Police Boss wake!? Na kwa nini akimbilie kwa Matiko ambae ni Mwanamke na kuacha kujificha Nyuma ya Wanaume wenzie!?Itazame vizuri hio video Askari mwenye kibegi cha kijivu akimpiga dole matiko Hadi matiku akashtuka kumuangalia aliyempiga dole,uoni hapo mlengwa ni matiko kumprovoke ili wamtafutie kesi.
Mnapotumwa Kazi na ccm akili zingine muwe mnaziacha hata nyumbani Sasa hapo hata Askari mwenyewe kajidhalilisha na familia yake.Labda Kama mnafundishwa uhuni chuoni siku hizi.Lakin hairuhusiwi kumdhalilisha mtuhumiwa
Hata wasiojulikana uja Kama police na ukaulizia polisi utaambiwa atujamshikilia hatupo naeMama yangu hawezi kuwa mjinga kwenda kuzuia polisi walifanya majukumu yao
Why police ampige dole matiko na asidili na wamtakae, pili alikataa wito wa kuitwa kituoni, sababu ya wasiojulikana Jamii Ina hofu hakuna anayekubali kufika tu unanyakuliwa juu kwa juu huu si utaratibu wa ukamataji huoni ni mitego hiiKwa hiyo huyo Mlinzi wa Matiko ndiyo kaamua kumletea Police Boss wake!? Na kwa nini akimbilie kwa Matiko ambae ni Mwanamke na kuacha kujificha Nyuma ya Wanaume wenzie!?
[emoji3581]Hata wasiojulikana uja Kama police na ukaulizia polisi utaambiwa atujamshikilia hatupo nae
Kwann wagombea wa ccm usikii wakisumbuliwa uoni uleta shaka hiliMbona unazidisha unyumbu? Hakuna ishu kwenye mikutano mikutano ni sanaa tu! Mbona Magufuli anafunika Kila anapoenda?
Ukweli upo kwenye box la kura ndipo kelele zenu zitapoishia. Hii ni nchi sio kijiwe. Ni kichapo kitakatifu 28 oct
Mkuu vuta subira kuna kitu kinaitwa "common interest " tarehe 28 ipo karibu sana sidhani hizo bunduki wanabeba kuwafwata watu kwenye kakundi kadogo kuti zitasaidia ku dhibiti nchi nzima.Ratio ya Asikari to raia kama hujuwi nchini nivigumu sana ku control ghasia ikitokea national wide.Ushauri mzuri watende haki tuu kama atashinda kihalari Magufuli sawa au Lissu vinginevyo huwu uchaguzi sio kama wa 2015 tisidanganyane nchi hii sio ya amani ni uvumilivu tuu sema wengi hatujuwi.Kwanza raia wa inchi zingine hapendezwi kua mkimbizi kwenye nchi zingine but kukosekana kwa Uhuru na haki kutoka kwa viongozi.FREE AND FAIR ELECTIONS THATS ONLY WAY TO GO AS IT STANDS.Haya maneno yashakuwa kama ngonjera, hapo unaona kabisa mlinzi kakamatwa mbele ya watuw wenu na polisi wako wachache tu, ila mmeshindwa kuresist mnaenda twitter kulialia.
Lema naye watu wameingia ofisini kwake wakawachukua wasaidizi, hakuna mlilofanya zaidi ya kulialia. Lema alijua arusha wataandamana kumtetea? Watu wenyewr nyie mmejificha nyuma ya keyboard?
Maneno mengi vitendo 0, mnaudhi
Sasa wwe ukitoka nduki Kama huyo Mlinzi, unashauri Police wasimame wamwangalie tu!? Raia yoyote mchafu lazima ataliogopa Jeshi la Police,Raia Mwema anaweza hata akaingia kituo chochote cha police na kuwomba hata nauli ya Daladala Kama kapungikiwa kweli! Na anaweza hata akabahatika Usafiri wa defender Kama litakua linaenda mitaa ya huko anako elekea!!Kule ukamatwi hovyo hovyo unaambiwa unakamatiwa nn,Kama huna silaha na si hatarishi kwao kwann huwezi pigwa risasi
Ha ha ha ha tumikwara hutu mweeMimi ningekufa au ningeua .
Your thinking capacity its too low and narrow ....naponde anafunika ? Mkutano unakuwa wakina Mondi huoni akimaliza kukata mauno wato wanasepa ? you must imbecileMbona unazidisha unyumbu? Hakuna ishu kwenye mikutano mikutano ni sanaa tu! Mbona Magufuli anafunika Kila anapoenda?
Ukweli upo kwenye box la kura ndipo kelele zenu zitapoishia. Hii ni nchi sio kijiwe. Ni kichapo kitakatifu 28 oct
Tunakuuliza angemfanyia hayo mgombea ubunge jimbo LA Mchinga mngesema hayo?
MTU mzima acha kuwa mpumbaf!
Wwe hata ujielewe unasema nini!? Sasa Kama kachukuliwa na wasiyojulikana huyo Matiko kamsaidia nini!? mbona bado kasombwa! Acheni kujitoa akili mkaona Uchaguzi Kama Vita,kumbukeni Serekali bado iko Kazini,na utii wa Sheria bila shuruti ndiyo njia ya kupata haki yako kwa ustaili!! Ubabe na Serekali mwisho wa siku wwe ndiyo utaumia!!Taratibu za kuarrest zinajulikana,yaani we watu wavamie tu nyumba yako bila kujitambulisha wakukwapue tu nawe utulie je Kama sio wasiojulikana je Mara ngapi wasiojulikana wamekwapua watu kwa police style na wakapotea Hadi leo
Mkuu vuta subira kuna kitu kinaitwa "common interest " tarehe 28 ipo karibu sana sidhani hizo bunduki wanabeba kuwafwata watu kwenye kakundi kadogo kuti zitasaidia ku dhibiti nchi nzima.Ratio ya Asikari to raia kama hujuwi nchini nivigumu sana ku control ghasia ikitokea national wide.Ushauri mzuri watende haki tuu kama atashinda kihalari Magufuli sawa au Lissu vinginevyo huwu uchaguzi sio kama wa 2015 tisidanganyane nchi hii sio ya amani ni uvumilivu tuu sema wengi hatujuwi.Kwanza raia wa inchi zingine hapendezwi kua mkimbizi kwenye nchi zingine but kukosekana kwa Uhuru na haki kutoka kwa viongozi.FREE AND FAIR ELECTIONS THATS ONLY WAY TO GO AS IT STANDS.
Na wwe Mshakunaku watu tunaangalia arest inavyoendelea,wwe mwenzetu akili zako zimeenda kwenye Ngono,ile ilikua purukushani na kugusana kwenye purukushani ni Jambo la kawaida! Sasa Kama kuna maswala ya dole,ni yule aliyepigwa dole atowe malalamiko kwa Mamlaka husika na Uchunguzi utasema ukweli!!Vipi Kama mama yako ndo amepigwa dola hivo in public utajisikiaje
Utamsumbuaje mtu aliyetulia?Kwann wagombea wa ccm usikii wakisumbuliwa uoni uleta shaka hili
kila kitu kina kuwa na strategy, kwanza nani amekuforce ili uandame wewe?Mh Lissu hakusema fungeni barabara hadi to attain the goal nini kilifwata?? hata mujaribu kukatisha tamaa watu safari hii huyu sio Lowassa muka mukill amerudi mazima.usiwe desperate na shameless kihivyo kada.Huu ujinga kila siku mnauwaza, nyie mkae nyuma ya keyboard ila wenzenu ndio waandamane? Hakuna wa kuandamana
Ndio maana nikakuambia ona kilichotokea kwa huyo matiko, lema na heche, alafu utaelewa
Tarime police na ccm hampati kitu pale mkajaribu dodoma labda,wakurya ni wanaumeUtamsumbuaje mtu aliyetulia?
Ile ni planned act yenye dhamira labda Askari ndo alitumia nafasi hii adhimu ya kugusa ndoto yakeNa wwe Mshakunaku watu tunaangalia arest inavyoendelea,wwe mwenzetu akili zako zimeenda kwenye Ngono,ile ilikua purukushani na kugusana kwenye purukushani ni Jambo la kawaida! Sasa Kama kuna maswala ya dole,ni yule aliyepigwa dole atowe malalamiko kwa Mamlaka husika na Uchunguzi utasema ukweli!!
Mabeberu washakulemaza. Umekuwa mtumwa kamili.Your thinking capacity its too low and narrow ....naponde anafunika ? Mkutano unakuwa wakina Mondi huoni akimaliza kukata mauno wato wanasepa ? you must imbecile