Mkuu hiyo ndio tofauti ya kuwa na akili na kuwa na akili za CCM, kwa CCM kuwa mpinzani hustahili kuishi, hustahili haki zako za msingi kwa mujibu wa katiba.Mwanamke muuaji wewe,una rohombaya,huna huruma na mwanamke mwenzio.
Hapa si unawaona wanashangilia, wanakebehi na kudhalilisha walioonewa na policcm, CCM ni hopeless kabisa ni zaidi ya WAPUMBAVU