Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Polisi wa nchi za kidemokrasia, siyo Tanzania ya leo. Kilangila.
Tupe mfano wa hizo nchi. Polisi wa anayejiita kinara wa democracy ndio wanaongoza kwa police brutality!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polisi wa nchi za kidemokrasia, siyo Tanzania ya leo. Kilangila.
Kama uchawi na roho mbaya zilivyokuharibu
Msukuma huyu huyu anashimdwa hata na sentence moja tuu ?hivi Permanent Head Damage(Phd) sio Phd wengine tunazijuwa mkuuLegalz wengi ni matapeli Kama robat,wao kazi yao kutafuta tu loopholes ili kupiga pesa nyepesi bila kuvuja Jasho! Kwa Msukuma nakuambieni mmegonga Mwamba hakuna loopholes hapo kila tundu imezibwa,hadi issue ya Mashoga nayo imezibwa!!
https://www.jamiiforums.com/threads/wa-mwisho-atakuwa-wa-kwanza.1798823/Tulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Huu ubabe wa Polisi ni ubabe wa kishamba sanaTulisema tangu awali kwamba CCM bila polisi ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Kuendelea kuwabambikia kesi wapinzani ni kuwafanyia promo kubwa Polisi wanawafurahisha ccm lakini wanasahau kuwa mungu yupo chadema ikiingia ikulu watakuwa na cha kujibu juu ya udhalimu waoKama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika
Yataisaidia ICC kuendesha kesi kwa polisi wote bila kuhitaji ushahidi wa watuTunawashukuru sana wazalendo wanaorekodi matukio haya ya kihalifu
Huu ndiyo upumbavu namba moja kwa nini polisi wasishitakiwe kwa kuvamia watu kwa njia za kishamba na kinyama, ICC inakuja ndipo polisi watapata fundishoKwanza Matiko nae ana kesi ya kuzuwiya Police wasifanye kazi yao!!
Wote sasa ni makada wa ccm na 60% sasa wapo Zanzibar kwa ajili ya kwenda kulazimisha mwinyi aingie ikulu kwa lazimaMajeshi yetu yanafanya kazi za CCM, aibu sana hii.
Yataisaidia ICC kuendesha kesi kwa polisi wote bila kuhitaji ushahidi wa watu
Wwe ndiyo Juha unae fikiri kua Police ni Malaika! Unadhani unaweza kwenda police na kuwaambia umeibiwa tu bila wwe kuwapa information ili wajuwe wanaanzia wapi kwa upelelezi wao!! Nyinyi ndiyo hata mkiona Mafuriko mnawalaumu police kisa Mafuriko! Police ni Binaadamu Kama wwe, mwambieni Mbeligiji aende Police akatowe Maelezo ili upelelezi uwende vizuri!!Unafikiri wote ni majuha kama wewe. Kweli huwezi penda CCM kama siyo MPUMBAVU
Nae Matiko kwa nini alijipeleka kwenye purukushani isiyo muhusu!?Sasa yule askari kulikuwa na ulazima gani wa kumpiga finger MATIKO??
Kama hata toothpick imetushinda kutengeneza, basi ujue Beberu ndio anawezesha!Nawe unasemaje,bora jiwe au bora beberu
Yeye alitarajia ustaarabu, ingawaje mwishoe hata yeyey hakuuonesha.Nae Matiko kwa nini alijipeleka kwenye purukushani isiyo muhusu!?
Sasa si wamemvamia kwake ulitaka atulie tu bila ku react?Nae Matiko kwa nini alijipeleka kwenye purukushani isiyo muhusu!?
Jibu hoja wwe acha Matusi! Kama una huruma sana kafunguwe kesi Mahakamani,umeambiwa!!Kama uchawi na roho mbaya zilivyokuharibu.
Pambana na hali yako, Mbeligiji atakupoteza sana, mwenzio anafadhiliwa na robati, wenyewe wanaelewana sana,sijui wanapeana nini!?Utawala wa KIFEDHULI huu, hauna tofauti na ule wa Nduli Idd Amin.