Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Legalz wengi ni matapeli Kama robat,wao kazi yao kutafuta tu loopholes ili kupiga pesa nyepesi bila kuvuja Jasho! Kwa Msukuma nakuambieni mmegonga Mwamba hakuna loopholes hapo kila tundu imezibwa,hadi issue ya Mashoga nayo imezibwa!!
Msukuma huyu huyu anashimdwa hata na sentence moja tuu ?hivi Permanent Head Damage(Phd) sio Phd wengine tunazijuwa mkuu
 
Kama hawajamuua utasikia akifunguliwa kesi ya kusambaza picha za ngono mitandaoni , sasa linganisha na nguvu iliyotumika
Kuendelea kuwabambikia kesi wapinzani ni kuwafanyia promo kubwa Polisi wanawafurahisha ccm lakini wanasahau kuwa mungu yupo chadema ikiingia ikulu watakuwa na cha kujibu juu ya udhalimu wao
 
Kwanza Matiko nae ana kesi ya kuzuwiya Police wasifanye kazi yao!!
Huu ndiyo upumbavu namba moja kwa nini polisi wasishitakiwe kwa kuvamia watu kwa njia za kishamba na kinyama, ICC inakuja ndipo polisi watapata fundisho
 
Majeshi yetu yanafanya kazi za CCM, aibu sana hii.
Wote sasa ni makada wa ccm na 60% sasa wapo Zanzibar kwa ajili ya kwenda kulazimisha mwinyi aingie ikulu kwa lazima
 
Yataisaidia ICC kuendesha kesi kwa polisi wote bila kuhitaji ushahidi wa watu

Kamanda, katika zama hizi za Information Age, ignorance ni chaguo la mtu na sio matokeo ya ukosefu wa vyanzo vya elimu. Hivi mnadhani ICC ni baraza la wananzengo? Endeleeni kupotoshana, mwanga mtaupata baadaye!
 
Unafikiri wote ni majuha kama wewe. Kweli huwezi penda CCM kama siyo MPUMBAVU
Wwe ndiyo Juha unae fikiri kua Police ni Malaika! Unadhani unaweza kwenda police na kuwaambia umeibiwa tu bila wwe kuwapa information ili wajuwe wanaanzia wapi kwa upelelezi wao!! Nyinyi ndiyo hata mkiona Mafuriko mnawalaumu police kisa Mafuriko! Police ni Binaadamu Kama wwe, mwambieni Mbeligiji aende Police akatowe Maelezo ili upelelezi uwende vizuri!!
 
ingelikuwa mimi ndiye mlinz ningejiendea zangu huko nilikotakiwa then najua tungemalizana tuu maana si kwa mbio zile alafu anabebwa ka kukuu,
Mie sioni kosa lolote pale maana alikuwa mkaidi kwa kitendo cha kukimbia tu inatosha askari wale kutumia nguvu ile,

Laiti angelitii wala lisingemtokea lile lililotokea na ukitaka kufahamu watu wanajua sheria hasa wale walokuwa pale pembeni hakuna aliyezuia askari kumkamata zaidi ya kutoa maneno ambayo hayakuwa na tija yoyote.
 
Utawala wa KIFEDHULI huu, hauna tofauti na ule wa Nduli Idd Amin.
Pambana na hali yako, Mbeligiji atakupoteza sana, mwenzio anafadhiliwa na robati, wenyewe wanaelewana sana,sijui wanapeana nini!?
 
Back
Top Bottom