Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Tunajua kuna wakati wa kulia na upo wakati wa kucheka ,twendeni tu wala hamna tabu Sababu mmeshikilia mpini.
Vilevile Kama sheria inawalenga kundi Fulani,ama inatekelezwa kwa ubaguzi jua hiyo si Sheria bali matakwa ya kundi Fulani lililojipa mamlaka.
 
Vilevile Kama sheria inawalenga kundi Fulani,ama inatekelezwa kwa ubaguzi jua hiyo si Sheria bali matakwa ya kundi Fulani lililojipa mamlaka.

Kabisa Mkuu na nna kazia ,upo sahihi kabisa
 
Kipimo cha haraka kumjua mpumbavu ni kauli ya mabeberu na vibaraka wao, early 70s nilisoma hadithi Kibanga kampiga mkoloni na tulimuona shujaa mnoooo.

Leo IMF, WHO, world Bank, na mnaowaita washirika wa maendeleo majuha kama nyinyi mnawaita mabeberu halafu Magu juzi anawaalika waje wawekeze. Utakataa siyo mpumbavu wewe?
Hakataliwi Beberuu kuja kuwekeza,mpango wa Magu ni Win Win situation kwa pande zote!!
 
Huna huruma una rohombaya ya kiuuaji Naunga mkono hoja, kitendo cha kuvamia makazi ya mtu bila maelezo na searching warrant ni kinyume cha police ethics.

Mwanamke mwenzio ameonewa na kudhalilishwa ofisini kwake, majuzi mwanamke Christina Ruge kapigwa na polisi hadi kulazwa hospital kwa kwenda ofisi ya tume kuulizia rufaa yake, hamtaki kukemea vitendo vya polisi.

Kweli wewe katili kama hujaua physically ukaonekana basi ni mchawi wewe
Huyo Matiko yeye amlaumu huyo Muhalifu aliyekimbilia ndani mwake ndiyo kamponza,au Matiko ndiyo anafadhali Mtandao wa Wahalifu!?
 
Huyo Matiko yeye amlaumu huyo Muhalifu aliyekimbilia ndani mwake ndiyo kamponza,au Matiko ndiyo anafadhali Mtandao wa Wahalifu!?
Vipaji huwa vina Mambo muhimu tunayohitaji katika Manisha,au unasemaje kuhusu Hilo jkipaji.
 
Waama wewe katika majuha unaongoza, hebu kwanza niambie unatumia ubongo huu huu kufikiria au kuna kiungo kingine?

Dhamira ya shambulio dhidi ya Lissu ilikuwa ni kumuua, je angekufa polisi wa Tanzania wangefunga jalada? Mbona kada wa CCM aliyeuliwa majuzi polisi wamewakamata watuhumiwa? Alitoa ushirikiano akiwa kaburini?

Upumbavu mwingine, kuna kesi yeyote ya mauaji Tanzania au nje ambako muadhirika wa mauaji ameenda kufungua kesi?

Duh! Tuna wagonjwa wa akili seriously among us
Sasa wwe na Lissu aliyekuwepo eneo la tukio ni Nani!? Je unajuwaje Kama Lissu na Wapigaji wa Risasi wake wamesha ya Jenga ndiyo maana hata Lissu hataki tena kwenda kutoa ushirikiano kwa Wapelelezi!? Wwe unazani Police ni Malaika amabao wanaweza kuona tukio hata Kama hakuwepo kwenye tukio!? Upelelezi unaenda na information,bila information ya uhakika ukweli hauwezi julikana wwe!!
 
Inaonekana wewe unashikwa shikwa sana makalio na kwako Ni kawaida sana

Ama kweli adui ya mwanamke ni mwanamke mwenyewe
Sasa mbona unamjibu mwenzio kwa Jazba sana!? Vp Sindano yake imekuchoma sana!? Pole wwe!
 
Why police ampige dole matiko na asidili na wamtakae, pili alikataa wito wa kuitwa kituoni, sababu ya wasiojulikana Jamii Ina hofu hakuna anayekubali kufika tu unanyakuliwa juu kwa juu huu si utaratibu wa ukamataji huoni ni mitego hii
Kwanza Matiko nae ana kesi ya kuzuwiya Police wasifanye kazi yao!!
 
Mie sio mtanzania lakini nimechukizwa mno,aibu sana kwa CCM ,wanalikoroga sana naona wapo karibu kulinywa siku sio nyingi...watanzania msikubali upuzi kama huo nimeuona hapo kwenye video,inatia hasira kwa kweli.
 
Mbona unazidisha unyumbu? Hakuna ishu kwenye mikutano mikutano ni sanaa tu! Mbona Magufuli anafunika Kila anapoenda?
Ukweli upo kwenye box la kura ndipo kelele zenu zitapoishia. Hii ni nchi sio kijiwe. Ni kichapo kitakatifu 28 oct
Baeelezee bataelewa tu kwa Sanduku ya Kura 28oct!!
 
Why police ampige dole matiko na asidili na wamtakae, pili alikataa wito wa kuitwa kituoni, sababu ya wasiojulikana Jamii Ina hofu hakuna anayekubali kufika tu unanyakuliwa juu kwa juu huu si utaratibu wa ukamataji huoni ni mitego hii
Katika vidole vitano vya police,Kidole kipi kilichotumika kumpiga dole Matiko!? Hili swali lazima Hakimu ataliiuliza, mwambieni Matiko aandae jibu!!
 
Mkuu huo unaouita upuuzi umeletwa kama ushahidi vipi na wewe una ushahidi kuwa aliambiwa ajisalimishe lakin alipuuza?
Akikujibu naomba uniamshe maana CDM Wana vichwa vigumu sana kuelewa!!
 
Katika vidole vitano vya police,Kidole kipi kilichotumika kumpiga dole Matiko!? Hili swali lazima Hakimu ataliiuliza, mwambieni Matiko aandae jibu!!
Atapewa video hakimu aangalie ni kidole kipi
 
Akikujibu naomba uniamshe maana CDM Wana vichwa vigumu sana kuelewa!!
Huo ujasiri wa kutetea chama kilichokuzulumu haki zenu za nyongeza za mishahara mnapata vipi hamu ya kukitetea au ugumu wa life umedumaza fikra maana wengi kula tu ni Hadi wake zenu wauze mihogo
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani, mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Ukikimbilia ndani ndio unakamatwa bila polisi kueleza sababu za kukukamata?
 
Back
Top Bottom