Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Sasa si wamemvamia kwake ulitaka atulie tu bila ku react?
Kwani hakuona uniform ya Jeshi la Police!? Siku ingine atakuja umia, mwambie Kama kazowea kumfanyia Mume wake ubabe, mwambie Wanaume tunatofatiana sana asitufananishe na Mume wake anaempelekesha huko Nyumbani kwake!!
 
Mume ni mume ,hao wanafanya kazi kwa mujibu wa sheria ,kuna taratibu zinazomguide mume na kuna taratibu zina zoguide hao waliovaa uniform,ingekuwa hao wenye uniform wapo juu ya sheria Act RPC bageni asingehukumiwa Kunyongwa na Zombe asingesweka Lupango.
 
Watu hili la Msingi sana hawalioni, wao akili zao zote ziko kwa Matiko na Dole! Yaani Watanzania akili zetu zinawaza ngono kila saa!!
 
Sasa yeye Matiko Sheria gani inamruhusu kuzia Jeshi la Police kufanya kazi yake!? Kama wengekuwa wanamuhitaji yeye si angeambiwa, Mtoto wa kike hana stara hata kwenye Public place!! Wanawake aina hiyo hata mkiwa Guest hacheliwi kukujazia watu!!
 
Atajuaje kama wale ni askari? Kuvaa uniform sio kigezo cha kutambua kama ni askari,wapo matapeli wengi wamekamatwa wakijifanya askari kwa kuvaa mavazi yanayofanana na ya GESHI letu....Kuna taratibu za kukamata mtu ,kama walikuwa wanamuhitaji huyo mlinzi wangemuita akareport polisi,kitendo cha kuvamia lazima uonyeshe resistance ,end policybrutarity....hao polisi hawana tofauti na street gang.
 
Aliyempiga Lissu risasi kafichwa na Chadema Ubeligiji, siku akirudi atakamatwa na kufunguliwa kesi ya shambulizi la kujaribu kumuua Lissu, mbona jambo hilo ni rahisi na liko wazi
 
Pambana na hali yako, Mbeligiji atakupoteza sana, mwenzio anafadhiliwa na robati, wenyewe wanaelewana sana,sijui wanapeana nini!?
Maiti kuokotwa kwenye viroba ni hali yangu? CCM acheni kejeli, dharau na ufedhuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…