jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kwani hakuona uniform ya Jeshi la Police!? Siku ingine atakuja umia, mwambie Kama kazowea kumfanyia Mume wake ubabe, mwambie Wanaume tunatofatiana sana asitufananishe na Mume wake anaempelekesha huko Nyumbani kwake!!Sasa si wamemvamia kwake ulitaka atulie tu bila ku react?