Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Hawa wapuuzi waanze kupewa kichapo,siku nyingine watakuja kwa adabu,maana hawana tofauti na majambazi

Kama wameamua kuweka kando sheria basi wawe tayari kukabilana na madhara yake,
Sasa Kamanda mzima baada apambane na Wanaume wenzie huko Nje,eti yeye anakimbilia ndani kwa Mwanamke na kushika chuma,na bado kanyanguliwa kirahisi sana!
 
Me Ni korofi Sana na hayo mazingira yanafaa Sana kuonyesha ukorofi mlinzi kaenda kizembe Sana hapo hizo kombati zingewavuka mbona
labda wangetumia risasi lakini hivihivi sio kizembe hivyo
 
Tukitwaa madaraka kitu cha kwanza ni kulivunja jeshi la Polisi na kulijenga upya ili lisiwe linatutumikia sisi Wanasiasa

Polisi lazima wawe na weledi katika kazi zao Tunataka jeshi la Polisi ambao halitatumiwa na kiongozi yeyote wa Chadema

Tunataka Polisi ambao rushwa kwao ni mwiko
 
Mkuu usipoteze muda kujibizana na vikaragosi vya watu , yuko zamu huyo
Asante mkuu kumbe huyu kunguni wa lumumba ndo yuko lindo leo. Lindo limeshavamiwa kama kituo cha mabasi ya mwendo kasi pale jangani ambacho ujenzi wake ulisimamiwa na wizara ya yule bwana mgombea wao alipokuwa lindo pale wizara ya ujenzi
 
Kwa nini awakimbie police!? Lazima atakua kafanya so,mbona wenzake wote hawajaguswa na hao Police kachukuliwa yeye peke yake!?
 
IGP una hamu ya kustaafu kwa misukosuko...pole sana.

CCM huwezi kuisaida tena ishakwisha!! Haisaidiki hamna chama humo watakuponza hawa jamaaa.
 
Wamezidi upole

Huwezi cheza fair kwa mtu anayekuchezea fowl.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…