Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Hoja ni sababu za kukamatwa kwake , ukiambiwa unaweza kucheka hadi watu washangaeAnaweza akaachiwa,polisi wametumia nguvu kwasababu yeye pia ametaka watumie nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja ni sababu za kukamatwa kwake , ukiambiwa unaweza kucheka hadi watu washangaeAnaweza akaachiwa,polisi wametumia nguvu kwasababu yeye pia ametaka watumie nguvu.
Sasa Kamanda mzima baada apambane na Wanaume wenzie huko Nje,eti yeye anakimbilia ndani kwa Mwanamke na kushika chuma,na bado kanyanguliwa kirahisi sana!Hawa wapuuzi waanze kupewa kichapo,siku nyingine watakuja kwa adabu,maana hawana tofauti na majambazi
Kama wameamua kuweka kando sheria basi wawe tayari kukabilana na madhara yake,
Hawana lolote hao kina robati,wachumia tumbo tu hao!!Mpaka hapa Kuna watu wanaitwa the uholanzi!!
Haijalishi kama sababu ni kubwa au ndogo,ndio keshakamatwa hivyo.nadhani tungejua kilichotokea huko nje ndio tungejua.Hoja ni sababu za kukamatwa kwake , ukiambiwa unaweza kucheka hadi watu washangae
Asante mkuu kumbe huyu kunguni wa lumumba ndo yuko lindo leo. Lindo limeshavamiwa kama kituo cha mabasi ya mwendo kasi pale jangani ambacho ujenzi wake ulisimamiwa na wizara ya yule bwana mgombea wao alipokuwa lindo pale wizara ya ujenziMkuu usipoteze muda kujibizana na vikaragosi vya watu , yuko zamu huyo
Kwa nini awakimbie police!? Lazima atakua kafanya so,mbona wenzake wote hawajaguswa na hao Police kachukuliwa yeye peke yake!?Na kuna watu bado watampa kura jiwe, kuishi kwenye shithole kazi sana. Hivi kumshika mtu kwa upole mkasema uko chini ya ulinzi kwa sababu hii, twende kituoni, mkaondoka naye kuna tatizo gani?
Mnavamia bila maelezo yoyote mnaanza kumvuta mtu kwa nguvu wengine na silaha, Nyerere aliongelea sana haya na jiwe toka liingie linajifanya smart nchi nzima
IGP Sasa anaingiaje hapo!?IGP anapaswa kuachia ngazi haraka
Corona tu mmeshindwa kuichemshia Dawa mkakimbia na posho za vikao ndiyo mtaweza Sasa!?Dawa yenu inachemka
Wamezidi upoleKatika muendelezo wa ubabe kwa wapinzani, Jeshi a Polisi limevamia ofisi ya mgombea ubunge kupitia Chama cha Chadema Esther Matiko huko mara na kukamata kwa kutumia fujo kubwa.
Matukio haya hivi karibuni yameendelea kutokea nchini ambapo wagombea wa Chadema kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akifanyiwa fujo na polisi.
Hali hiyo haikumuacha salama mwenyekiti wa Chadema na hata mgombea urais wa Chadema.
Huu uonevu utakoma lini?
Akili za CCM ni hivyo kabisa...IGP Sasa anaingiaje hapo!?
Kwa nini anakimbia police Kama Kweli yuko clean!?Acha ujinga wewe, kwaiyo kama iko shida mahali ndo akamatwe vile, kama jambazi kama sio mtanzania. Unafikiria kwa kutumia makalio nini?
Kwanini huyo mlinzi ameresist sana, kwani alikua na nini???Tulisema tangu awali kwamba bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba , Ushahidi wa video huu hapa
View attachment 1600019
Siku ikifika na wwe usije ukakimbilia kwa Mwanamke Kama huyo Mlinzi!!Wajaribu tu siku moja wanikamate hivyo mkono ntakaowatembezea
Tatizo ni IQ hauwezi kuelewaIGP Sasa anaingiaje hapo!?