Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Hawa wapuuzi waanze kupewa kichapo,siku nyingine watakuja kwa adabu,maana hawana tofauti na majambazi

Kama wameamua kuweka kando sheria basi wawe tayari kukabilana na madhara yake,
Sasa Kamanda mzima baada apambane na Wanaume wenzie huko Nje,eti yeye anakimbilia ndani kwa Mwanamke na kushika chuma,na bado kanyanguliwa kirahisi sana!
 
Me Ni korofi Sana na hayo mazingira yanafaa Sana kuonyesha ukorofi mlinzi kaenda kizembe Sana hapo hizo kombati zingewavuka mbona
labda wangetumia risasi lakini hivihivi sio kizembe hivyo
 
Tukitwaa madaraka kitu cha kwanza ni kulivunja jeshi la Polisi na kulijenga upya ili lisiwe linatutumikia sisi Wanasiasa

Polisi lazima wawe na weledi katika kazi zao Tunataka jeshi la Polisi ambao halitatumiwa na kiongozi yeyote wa Chadema

Tunataka Polisi ambao rushwa kwao ni mwiko
 
Mkuu usipoteze muda kujibizana na vikaragosi vya watu , yuko zamu huyo
Asante mkuu kumbe huyu kunguni wa lumumba ndo yuko lindo leo. Lindo limeshavamiwa kama kituo cha mabasi ya mwendo kasi pale jangani ambacho ujenzi wake ulisimamiwa na wizara ya yule bwana mgombea wao alipokuwa lindo pale wizara ya ujenzi
 
Na kuna watu bado watampa kura jiwe, kuishi kwenye shithole kazi sana. Hivi kumshika mtu kwa upole mkasema uko chini ya ulinzi kwa sababu hii, twende kituoni, mkaondoka naye kuna tatizo gani?

Mnavamia bila maelezo yoyote mnaanza kumvuta mtu kwa nguvu wengine na silaha, Nyerere aliongelea sana haya na jiwe toka liingie linajifanya smart nchi nzima
Kwa nini awakimbie police!? Lazima atakua kafanya so,mbona wenzake wote hawajaguswa na hao Police kachukuliwa yeye peke yake!?
 
Jamani wagombea kuna tahadhari ilitolewa mywe making Kuna Heche , Msigwa , Lema , unknown men wametumwa kuwafuatilia .more information are coming.
Screenshot_20201006-171411.png
 
IGP una hamu ya kustaafu kwa misukosuko...pole sana.

CCM huwezi kuisaida tena ishakwisha!! Haisaidiki hamna chama humo watakuponza hawa jamaaa.
 
Katika muendelezo wa ubabe kwa wapinzani, Jeshi a Polisi limevamia ofisi ya mgombea ubunge kupitia Chama cha Chadema Esther Matiko huko mara na kukamata kwa kutumia fujo kubwa.

Matukio haya hivi karibuni yameendelea kutokea nchini ambapo wagombea wa Chadema kila mmoja kwa wakati wake amekuwa akifanyiwa fujo na polisi.

Hali hiyo haikumuacha salama mwenyekiti wa Chadema na hata mgombea urais wa Chadema.

Huu uonevu utakoma lini?
Wamezidi upole

Huwezi cheza fair kwa mtu anayekuchezea fowl.
 
Back
Top Bottom