Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Uchaguzi 2020 Ester Matiko avamiwa na Polisi, Mlinzi wake achukuliwa kama Jambazi, akimbizwa kusikojulikana

Kwasababu wahusika hawatoi ushirikiano na polisi,hiyo ndio sababu ya kwanza,sababu ya pili walikuwa smart .hawakuacha track.....,sababu ya tatu hili tukio limefanywa kisiasa zaidi likimuhusisha mkuu wa nchi.sasa kama upinzani wanahisi fulani kahusika kwanini wasisaidie polisi?jamaa walimiss target lakini wapo smart.
Na walikuwa na mamlaka ya kuondoa cctv camera kwenye nyumba za eneo la tukio.

Walikuwa na mamlaka ya kuondoa walinzi wote wakati wa tukio.

Dhamira ilikuwa ni kumuua, angekufa polisi wa Tanzania hawawezi kufanya uchunguzi, pia hawataki msaada kutoka nje kwa wenye uwezo wa kufanya uchunguzi.

Wakakataa kumlipia matibabu na kumfukuza ubunge, hao ndio waliomshambulia.

Na watetezi wanatumia kiungo mbadala kufikiria badala ya ubongo
 
Sawa
 
Ndio maana akisema jambo :

Magufuli anajibu
Polepole anajibu
Makamba anajibu
Katibu mkuu anajibu
Mahera anajibu
Nyahoza anajibu
Policcm wananibu
Wapambe wao wenye low iq wanajibu

Hii yote ni kwa sababu siyo tishio
Sa wakimjibu ndio tishio? Mchezo tu wa siasa...hana lolote huyo jamaa,stori inaishia oct 28,baada ya hapo ni kimyaaa.5 years!
 
Mwendawazimu wewe hapo[emoji3][emoji3],unapambania kitu ambacho hakitakupa matokeo chanya.
Never argue with a fool, he ll pull you down to his level and beat you with experience, na nimegundua you are really FOOL!!

Have a nice dream
 
Never argue with a fool, he ll pull you down to his level and beat you with experience, na nimegundua you are really FOOL!!

Have a nice dream
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Nini kilitokea huko nje kabla jamaa hajakimbilia ndani? Kama hakuwa na tatizo nao kwanini katoka nduki kukimbilia ndani,mbona huyo mwingine kasimama kama roboti na hawajamgusa? ,iko shida mahali...
Hawa jamaa ni mabingwa wakulianzisha af wanategemea huruma ya raia. Hana kosa Sasa ninini kilichomtoa nduki? Mbona kakamatwa peke yake? Mwanakulifind mwanakuliget
 
Nigeria ilianza hivihivi askari na magwanda yao
mwisho Wananchi wakachoka
ngoja tumsikie Sirro
 
Tatizo chadema mnataka mue na serikal yenu ndan ya serikal ingine kwa stail io mtalamba Lolo sana
 
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na Yanga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe, siyo watanzania

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mjinga wewe, siyo watanzania

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Mwanzoni nilikua nashangaa kwanini baadhi ya watu humu hushangilia misiba au matatizo ya maccm au kundi flani la watu, nikaja gundua kuwa uonevu huzaa chuki na visasi kwenye mioyo ya watu. Unamcheka anayepigwa na polisi leo, kesho usitegemee akaja kulia kwenye msiba wako.

FUNZO: Ukiwa mnufaika (beneficiary) wa mfumo wowote ule usitumie vibaya hiyo privilege kuwatukana/gandamiza/dharau/piga/onea wengine, Hakuna hali inayodumu milele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom