Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Esta soon mbowe atamfikia ,hii rushwa ya ngono inaitafuna chadema baada ya Joyce mukya na mbowe ,Rose kamili na slaa sasa ni kutafunana

State agent
Ulitaka utafynwe wewe nni? maana una wivu na kamanda mbowe
 
HONGERA KWAO ...WAKAJENGE CHAMA CHAO NA TAIFA KWA UJUMLA ..

NATILIA SHAKA KUSEMA HECHE KURA ZAKE ZIMEPUNGUA KWA SABABU NILISIKIA NAE ANACHUKUA FOMU YA UENYEKITI TAIFA ....KIFUPI HAWA WAMEANGUKA KWA ELEMENT HIZO
SELASINI ..MWAMBE NA SUMAYE ..NAONA WAMESHINDWA KWA SABABU YA KUUTAKA UONGOZI WA JUU ...JAPO SINA UHAKIKA ILA DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA IMEKUA ....HONGERENI VIONGOZI WOTE MLIOCHAGULIWA MSIWABAGUE AMBAO WAMESHINDWA LAKINI PIA MSIWAONE WENGINE KAMA WASALITI .
 
Kuna harufu ya rafu hapo.
Wote waliojifanya kutaka nafasi ya mwenyekiti wamepigwa chini mapema ili kuonyesha kwamba hawakubaliki au hawana uwezo wa kusimama kwenye nafasi ya juu, siasa za Nchii hii bado ngumu sana na democrasia tunaitaja tu lakini bado inatupa shida sana wanatanzania! Any way hongera kwake kwa ushindi!
 
mkuu nilifanya kazi 2010 na juliana kule mbozi kwa silinde, anapenda hela yule dada sijapata ona!.....

pia kuna dogo mmoja mweupe hv sijui alikua duce au mkwawa nae alikua chenga kweli......... kiufupi vijana wengi waliotimkia ccm walikua wepesi sana aisee
Juliana aliwahi kuwa Makamu Mwenyekiti Bavicha...
 
HONGERA KWAO ...WAKAJENGE CHAMA CHAO NA TAIFA KWA UJUMLA ..

NATILIA SHAKA KUSEMA HECHE KURA ZAKE ZIMEPUNGUA KWA SABABU NILISIKIA NAE ANACHUKUA FOMU YA UENYEKITI TAIFA ....KIFUPI HAWA WAMEANGUKA KWA ELEMENT HIZO
SELASINI ..MWAMBE NA SUMAYE ..NAONA WAMESHINDWA KWA SABABU YA KUUTAKA UONGOZI WA JUU ...JAPO SINA UHAKIKA ILA DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA IMEKUA ....HONGERENI VIONGOZI WOTE MLIOCHAGULIWA MSIWABAGUE AMBAO WAMESHINDWA LAKINI PIA MSIWAONE WENGINE KAMA WASALITI .
Ukweli ni kwamba anaejaribu kuitaka nafasi ya juu lazima aangukie pua kwenye hizi chaguzi za kanda!
 
mkuu ina maana wapiga kura wote hawampendi mtu anaempinga mbowe?.....

if thats the case then, cdm wanaamini mbowe ni bora............ otherwise nisaidie kujua mbowe amefanyaje mpk hao (the so termed wapinzani wake) wakakosa kura......
Wote waliojifanya kutaka nafasi ya mwenyekiti wamepigwa chini mapema ili kuonyesha kwamba hawakubaliki au hawana uwezo wa kusimama kwenye nafasi ya juu, siasa za Nchii hii bado ngumu sana na democrasia tunaitaja tu lakini bado inatupa shida sana wanatanzania! Any way hongera kwake kwa ushindi!
 
Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
Kwani uko mbali kiasi gani mkuu? Chukua mmojawapo Kiongozi atakufaa sana! Mimi nakupa mwanasheria mwenzio ili nyumbani kwako pachimbike ukileta za kuletwa!
 
mkuu nilifanya kazi 2010 na juliana kule mbozi kwa silinde, anapenda hela yule dada sijapata ona!.....

pia kuna dogo mmoja mweupe hv sijui alikua duce au mkwawa nae alikua chenga kweli......... kiufupi vijana wengi waliotimkia ccm walikua wepesi sana aisee
Yule dada nakumbuka mm nipo first year yeye yupo second year pale UDSM Mabibo hostel, landmark hotel palikuwa nyumbani kwetu...Ila siku hizi uso wake unahorojeka sijui ni nini na sijawahi pima toka enzi hizo basi balaa tupu!
 
Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha
Wewe kaoe MaCCM shehe, akili kubwaz za Upinzani huziwezi
 
Back
Top Bottom