Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Mbowe is smarter!
Heche hakuchukua fomu but he is a really threat to the Sultanate
"Boniphace Kichongeo" Nikisema wewe ni pumbavu, utalalamika kuwa nimekutukana wakati ndivyo ulivyo!!!? "Mpumbavu" ni aina ya watu wanaokubali kutumika hovyo na watu fulani. Biblia huwaita: "Watu wasiofaa" 1Wafalme 21:10-13
Hata wakati wa kesi ya Yesu walikuwepo wakishuhudia kuwa walimsikia Yesu akisema kwamba angevunja hekalu na kulijenga kwa siku tatu.Mathayo 26:61
Endelea Ndugu maana una kusudio.
 
Ni vizuri kama wanashindana kwa haki na kukubaliana bila kununiana
 
Back
Top Bottom