Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Kwa Mimi nisiye mwanasiasa John Heche...ni kamanda kweli kweli..ukisikia makamanda wa CHADEMA wenye misimamo dhabiti..Heche..ni mmojawapo..tangu akiwa kiongozi wa vijana ni mtu mpambanaji...Hongera Kwa Matiko.hiyo ndio demokrasia....kikubwa ni kupendana na kushirikiana
Inaonekana "Uenyekiti wa Kanda" una hadhi ya kipekee ndani ya chama.

Katika hali ya kawaida, Esther asingem'challenge' Heche ambaye alikuwa anatetea kiti, tena kwa ufanisi (katika macho ya watazamaji wa nje). Bila shaka wapiga kura watakuwa wamepata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa viongozi mahili wawili.

Matumaini yangu ni kwamba Mh Heche hatakuwa na kinyongo kuhusu hili. Bila shaka nafasi yake ndani ya Chama itazidi kuheshimiwa na kupewa majukumu mengine. Chama kinawahitaji sana viongozi wa aina yake.
 
Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko

Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!

Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.

Naamini ni kiongozi mkubwa ajaye......
Haha maigizo ya Mbowe yanaendelea,wale wote ambao ni tishio kwake anahakikisha hawapiti kuwa weyeviti wa kanda,lakini wale wapambe wake ndio wanapita,hizi ni mbinu za maandalizi ya kutwaa uenyekiti wa SACCOS yake,Mbowe anakuwa kama M7,Slim boy,angekuwa raisi angefia madarakani.
 
Inaonekana "Uenyekiti wa Kanda" una hadhi ya kipekee ndani ya chama.

Katika hali ya kawaida, Esther asingem'challenge' Heche ambaye alikuwa anatetea kiti, tena kwa ufanisi (katika macho ya watazamaji wa nje). Bila shaka wapiga kura watakuwa wamepata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa viongozi mahili wawili.

Matumaini yangu ni kwamba Mh Heche hatakuwa na kinyongo kuhusu hili. Bila shaka nafasi yake ndani ya Chama itazidi kuheshimiwa na kupewa majukumu mengine. Chama kinawahitaji sana viongozi wa aina yake.
Mwenyekiti wa maisha wa SACCOSS tayari kapanga safu yake,kama haumo hauwezi kushinda hata ungekuwa na ushawishi kiasi gani,hapo ndio ujue SACCOSS ina mwenyewe.
 
Wapiga kura 82 tu?........kweli Chadema ni chama kidogo!
Pamoja na udogo wake bado kila siku mnasali kife wapuuzi wakubwa. Najua utamind kuitwa mpuuzi lakini kama mnalipwa kwa ajili ya kuja kutetea lichama lenu hapa ni tofauti na sisi wafuasi wa chadema tusiolipwa hata Mia na hatujuani lakini ideology inatuunganisha.
 
Honestly, I like Susan Kiwanga, Esther Matiko, Ester Bulaya, Halima Mdee and the like. They are the iron ladies and the heart of CHADEMA! Ningekuwa karibu nao, kwa wasioolewa, ningemuoa mmojawapo. Ha ha ha ha ha ha

Ungekuwa unashinda mahakamani na vitoto vyako, kusikiliza kesi zao
 
Sasa wewe Chakaza una fursa ya kupiga kura kweli?!!
Unanijua? Sipigi kura maana sipo katika nafasi yeyote ya kuchaguliwa.
Lakini nafurahi kuwa juhudi zangu za kufanikisha Chadema inasajiliwa na kuwa chama imara 1992/93 zilifanikiwa na nipo kwenye daftari LA orodha ya wapambanaji wa awali.
Niliiona Chadema kwa jicho LA udadisi toka nikiwa naitumikia serikali ya Mwinyi kuwa ni Chama chenye uwezo wa kuibadili nchi hii.
 
HONGERA KWAO ...WAKAJENGE CHAMA CHAO NA TAIFA KWA UJUMLA ..

NATILIA SHAKA KUSEMA HECHE KURA ZAKE ZIMEPUNGUA KWA SABABU NILISIKIA NAE ANACHUKUA FOMU YA UENYEKITI TAIFA ....KIFUPI HAWA WAMEANGUKA KWA ELEMENT HIZO
SELASINI ..MWAMBE NA SUMAYE ..NAONA WAMESHINDWA KWA SABABU YA KUUTAKA UONGOZI WA JUU ...JAPO SINA UHAKIKA ILA DEMOKRASIA NDANI YA CHAMA IMEKUA ....HONGERENI VIONGOZI WOTE MLIOCHAGULIWA MSIWABAGUE AMBAO WAMESHINDWA LAKINI PIA MSIWAONE WENGINE KAMA WASALITI .
Kumbe tupo tunaotazama hii trend kwa jicho hilo!

Kuna figisu lazima zimefanyika ili ionekane hawakubaliki hata kwenye Kanda zao itakuwa uenyekiti taifa!

Utashangaa 18th December zinapigwa kura za wazi siyo za siri,WHY?

Sultan mwenyewe haamini kama anakubalika!
 
Saivi mbowe kaona namna bora ya kuwaondoa wanaoutaka ufalme wake ni kuwapiga chini kwenye kura na sio kuwapyupyu

Mbowe kikoba chako unakimudu vyema na hakuna wa kukuletea fyokofyoko ndani ya saccos yako
 
Huyu dada lazima angewashinda tu sababu hana mathara kwa mugabe na ndio aina ya watu mugabe anawataka kwenye saccos yake
 
Inaonekana "Uenyekiti wa Kanda" una hadhi ya kipekee ndani ya chama.

Katika hali ya kawaida, Esther asingem'challenge' Heche ambaye alikuwa anatetea kiti, tena kwa ufanisi (katika macho ya watazamaji wa nje). Bila shaka wapiga kura watakuwa wamepata wakati mgumu sana kumchagua mmoja kati ya hawa viongozi mahili wawili.

Matumaini yangu ni kwamba Mh Heche hatakuwa na kinyongo kuhusu hili. Bila shaka nafasi yake ndani ya Chama itazidi kuheshimiwa na kupewa majukumu mengine. Chama kinawahitaji sana viongozi wa aina yake.
Heche bado ni hazina na ninadhani hii Kanda ndo wapiga kura walipata shida jinsi ya kuchagua nani apigiwe kura
 
Huyu dada lazima angewashinda tu sababu hana mathara kwa mugabe na ndio aina ya watu mugabe anawataka kwenye saccos yake

afadhali huyo kuliko muuaji!
1575261076069.png
 
Unanijua? Sipigi kura maana sipo katika nafasi yeyote ya kuchaguliwa.
Lakini nafurahi kuwa juhudi zangu za kufanikisha Chadema inasajiliwa na kuwa chama imara 1992/93 zilifanikiwa na nipo kwenye daftari LA orodha ya wapambanaji wa awali.
Niliiona Chadema kwa jicho LA udadisi toka nikiwa naitumikia serikali ya Mwinyi kuwa ni Chama chenye uwezo wa kuibadili nchi hii.

Na uliwaona pia wakimwita EL?
 
Kumbe tupo tunaotazama hii trend kwa jicho hilo!

Kuna figisu lazima zimefanyika ili ionekane hawakubaliki hata kwenye Kanda zao itakuwa uenyekiti taifa!

Utashangaa 18th December zinapigwa kura za wazi siyo za siri,WHY?

Sultan mwenyewe haamini kama anakubalika!
Kikubwa ni kuacha tu demokrasia ifanye, japo sina uhakika sana kama mbowe anawatuma au ni mihemko ya wajumbe...
 
Back
Top Bottom