Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Hahahaha.Kumbe nilikuwa sijaelewa. Kumbe ulishapita kwa Juliana ? Sasa why haukuoa?Sasa hivi ungekiwa naibu waziri kivuli wa sanaa,habari na michezo.
Mmmh unadhani nipo hivyo? Ningekuwa msaka opportunities basi ningekuwa UN hukooo
 
Kamanda Upendo Peneza hivi yupo kweli....
.
Kwa Mimi nisiye mwanasiasa John Heche...ni kamanda kweli kweli..ukisikia makamanda wa CHADEMA wenye misimamo dhabiti..Heche..ni mmojawapo..tangu akiwa kiongozi wa vijana ni mtu mpambanaji...Hongera Kwa Matiko.hiyo ndio demokrasia....kikubwa ni kupendana na kushirikiana
 
Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko

Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!

Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.
Humjui vizuri Heche wewe!!
 
Esta soon mbowe atamfikia ,hii rushwa ya ngono inaitafuna chadema baada ya Joyce mukya na mbowe ,Rose kamili na slaa sasa ni kutafunana


State agent
Kina ngemela wao wamempa nn Magu? Kisamvu cha kopo?
 
Hongera Ester. Hongera Heche. Kwa hao yeyote ambaye angepita, hakuna mashaka kwa imqni yake kwa chama.
 
Team Mbowe wote wanashinda. Hongera sana Mrs Mwalimu naibu katibu mkuu Chadema kwa kushinda.
Team Mbowe au Team Chadema, Mbowe is synonymous with Chadema, as Chadema is synonymous with Mbowe, the Lissu's etc....

Ujinga wa kuwapa watu Uongozi halaf kesho tuyaone Chato yakiunga juhudi NO, tumeshajifunza!
 
Team Mbowe au Team Chadema, Mbowe is synonymous with Chadema, as Chadema is synonymous with Mbowe, the Lissu's etc....

Ujinga wa kuwapa watu Uongozi halaf kesho tuyaone Chato yakiunga juhudi NO, tumeshajifunza!
Heche anaenda chato kuunga juhudi?
 
Chadema mbali na kukimbiwa na watu ila ina vyuma aisee..Hapo BAVICHA sasa. Kiufupi CCM waliyasajili yale makapi ila waliobaki ni moto wa kuotea mbali. Kila idara ni vyuma tupu..Acha Mashinji na Safari wakapumzike maana hawana nafasi kwa hili chama kwa sasa.
Hivi Kuna mbunge wa Chadem mwanamke aliyeunga juhudi?
 
Back
Top Bottom