Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Esther Matiko amshinda John Heche nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Serengeti

Lakini jambo jema ni kwamba, yeye alikuwa 'mwaka wa kwanza', na madini yalikuwa wa 'pili'.
Kombinesheni za aina hiyo huwa ni za nadra. Inawezekana G Sam alikuwa na 'mpunga' wa kutosha!
Hahahahah.Inawezekana. G Sam na yeye ni noma.
 
Yule dada nakumbuka mm nipo first year yeye yupo second year pale UDSM Mabibo hostel, landmark hotel palikuwa nyumbani kwetu...Ila siku hizi uso wake unahorojeka sijui ni nini na sijawahi pima toka enzi hizo basi balaa tupu!
UDSM alifanya MBA mzee
 
Wote waliojifanya kutaka nafasi ya mwenyekiti wamepigwa chini mapema ili kuonyesha kwamba hawakubaliki au hawana uwezo wa kusimama kwenye nafasi ya juu, siasa za Nchii hii bado ngumu sana na democrasia tunaitaja tu lakini bado inatupa shida sana wanatanzania! Any way hongera kwake kwa ushindi!
Kwani ulitaka washinde ili iweje? Au ulitaka waenguliwe kama mnavyofanya huko CCM?
 
UDSM alifanya MBA mzee
Tulikuwa naye first degree mimi nipo CoET yeye yupo Sociology.. Na tulikuwa wote CHASO alikuwa anavaa kisketi fulani chekundu enzi hizo ana bonge la mguu...Jojo tulikuwa tunakutana blockA yeye yupo third year mimi first year alikuwa anapenda sana kusomea CoET hadi usiku mnene 😜😜
 
Sasa hawa ukija kulinganisha na mtu kama Juliana Shonza ndio utakapo juwa tofauti kati ya mbwa wa kufuga na Simba mwituni.
Kweli chadema mmeishiwa sasa hapa Shonza anahusikaje mkuu.
Kingine hao walichaguliwa mbona toka enzi na enzi wapo chadema na hawajawahi kuivusha chadema Kwenda Ikulu
 
Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko

Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!

Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.

Chadema kuna demokrasia mamaeeeeee zao nyinyiemu!
 
Esther Matiko 44
John Heche 38

Hongera Mwana mama Esther Matiko

Hata hivyo John Heche ni kati ya Wanasiasa wachache sana ninaowahusudu Tanzania!

Kiasi siwezi kutilia shaka ujasiri na uzalendo wake kuhusu siasa za Tanzania.
Kwa Mimi nisiye mwanasiasa John Heche...ni kamanda kweli kweli..ukisikia makamanda wa CHADEMA wenye misimamo dhabiti..Heche..ni mmojawapo..tangu akiwa kiongozi wa vijana ni mtu mpambanaji...Hongera Kwa Matiko.hiyo ndio demokrasia....kikubwa ni kupendana na kushirikiana
 
Esta soon mbowe atamfikia ,hii rushwa ya ngono inaitafuna chadema baada ya Joyce mukya na mbowe ,Rose kamili na slaa sasa ni kutafunana


State agent
Kama wewe unayetafunwa hapo lumumba
 
Back
Top Bottom