GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tarimemjini

Member
Joined
Jul 10, 2025
Posts
71
Reaction score
142
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.

Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba moja, na akaletwa mshindi wa pili kuwa mgombea na hatimaye akawa Mbunge. Mwaka 2025 Jackson Kangoye alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mbunge Michael Kembaki.

Baada ya Esther Matiko kurejeshwa kuwa mgombea wana CCM waliandamana kupinga kuteuliwa kwa Esther Matiko kuwa mgombea wao kwani walimkataa kwenye kura za maoni na hawamtaki kuwa mgombea Ubunge wao.

Baada ya sauti zao kupuuzwa wana CCM walimshinikiza Jackson Kangoye kugombea Ubunge kupitia Chama chochote cha siasa.

Ndipo Jackson kumbe tayari alichukua kadi awali na kujipanga.

Hofu ya Esther Matiko ni kubwa kwani kila anapopita Tarime mjini anazomewa na watu.
IMG-20250828-WA0071.jpg
 
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.

Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba moja, na akaletwa mshindi wa pili kuwa mgombea na hatimaye akawa Mbunge. Mwaka 2025 Jackson Kangoye alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mbunge Michael Kembaki.

Baada ya Esther Matiko kurejeshwa kuwa mgombea wana CCM waliandamana kupinga kuteuliwa kwa Esther Matiko kuwa mgombea wao kwani walimkataa kwenye kura za maoni na hawamtaki kuwa mgombea Ubunge wao.

Baada ya sauti zao kupuuzwa wana CCM walimshinikiza Jackson Kangoye kugombea Ubunge kupitia Chama chochote cha siasa.

Ndipo Jackson kumbe tayari alichukua kadi awali na kujipanga.

Hofu ya Esther Matiko ni kubwa kwani kila anapopita Tarime mjini anazomewa na watu.View attachment 3456372
COVID-19er bado haamini kwamba msimamizi wa uchaguzi atamtangaza kuwa mshindi bila kujali amepata kura ngapi.
 
Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.

Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba moja, na akaletwa mshindi wa pili kuwa mgombea na hatimaye akawa Mbunge. Mwaka 2025 Jackson Kangoye alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mbunge Michael Kembaki.

Baada ya Esther Matiko kurejeshwa kuwa mgombea wana CCM waliandamana kupinga kuteuliwa kwa Esther Matiko kuwa mgombea wao kwani walimkataa kwenye kura za maoni na hawamtaki kuwa mgombea Ubunge wao.

Baada ya sauti zao kupuuzwa wana CCM walimshinikiza Jackson Kangoye kugombea Ubunge kupitia Chama chochote cha siasa.

Ndipo Jackson kumbe tayari alichukua kadi awali na kujipanga.

Hofu ya Esther Matiko ni kubwa kwani kila anapopita Tarime mjini anazomewa na watu.View attachment 3456372
Wanashindwaje kuscan hata barua hii( document) na app ya genius scan kweli
 
ACT nao wanaboa. Hawana wanachama wao mpaka wahangaike na CCM?.
 
Back
Top Bottom