Zitto sialisema wamefanya marekebisho makubwa kwenye sheria ya uchaguziHzo kura za hapana hazifanyiwi kazi kwa ccm hii
Uenda ikawa, kwa kuwa wanafanya watakavyo,hawaheshimu maamuzi ya wananchi.Ajabu ni kwamba hilo pingamizi linaweza kupita...
Ufyuzi wa ndugu haunuki. <(Wahenga tunasema) WatayamalizaKesi za CCM kwa CCM hakuna shida
Zito ni sawa na Hananja tu.Zitto sialisema wamefanya marekebisho makubwa kwenye sheria ya uchaguzi
YapUfyuzi wa ndugu haunuki. <(Wahenga tunasema) Watayamaliza
MadalaliZito ni sawa na Hananja tu.
We we!! Sio wa ndugu,bali wa mapenzi 😄😂😂👆Ufyuzi wa ndugu haunuki. <(Wahenga tunasema) Watayamaliza
Kama amevunja kanuni za chama chake mwenyewe hafai kuwa kiongozi huyu atakuja kuvunja kanuni za nchiMgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.
Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba moja, na akaletwa mshindi wa pili kuwa mgombea na hatimaye akawa Mbunge. Mwaka 2025 Jackson Kangoye alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mbunge Michael Kembaki.
Baada ya Esther Matiko kurejeshwa kuwa mgombea wana CCM waliandamana kupinga kuteuliwa kwa Esther Matiko kuwa mgombea wao kwani walimkataa kwenye kura za maoni na hawamtaki kuwa mgombea Ubunge wao.
Baada ya sauti zao kupuuzwa wana CCM walimshinikiza Jackson Kangoye kugombea Ubunge kupitia Chama chochote cha siasa.
Ndipo Jackson kumbe tayari alichukua kadi awali na kujipanga.
Hofu ya Esther Matiko ni kubwa kwani kila anapopita Tarime mjini anazomewa na watu.View attachment 3456372
Hatimaye rufaa hii yatupiliwa mbaliMgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.