tarimemjini
Member
- Jul 10, 2025
- 71
- 142
Sahihi kabisaBora angepita yule wa awali
Huenda. Maana hofu ya CCM ni kubwa sana mwaka huuAjabu ni kwamba hilo pingamizi linaweza kupita...
Sitoshangaa, kwa mifumo ilivyoAjabu ni kwamba hilo pingamizi linaweza kupita...
Uongozi haramuSitoshangaa, kwa mifumo ilivyo
COVID-19er bado haamini kwamba msimamizi wa uchaguzi atamtangaza kuwa mshindi bila kujali amepata kura ngapi.Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.
Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba moja, na akaletwa mshindi wa pili kuwa mgombea na hatimaye akawa Mbunge. Mwaka 2025 Jackson Kangoye alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mbunge Michael Kembaki.
Baada ya Esther Matiko kurejeshwa kuwa mgombea wana CCM waliandamana kupinga kuteuliwa kwa Esther Matiko kuwa mgombea wao kwani walimkataa kwenye kura za maoni na hawamtaki kuwa mgombea Ubunge wao.
Baada ya sauti zao kupuuzwa wana CCM walimshinikiza Jackson Kangoye kugombea Ubunge kupitia Chama chochote cha siasa.
Ndipo Jackson kumbe tayari alichukua kadi awali na kujipanga.
Hofu ya Esther Matiko ni kubwa kwani kila anapopita Tarime mjini anazomewa na watu.View attachment 3456372
Madai yake yako sahihi lakiniAjabu ni kwamba hilo pingamizi linaweza kupita...
COVID ni wabaya snCOVID-19er bado haamini kwamba msimamizi wa uchaguzi atamtangaza kuwa mshindi bila kujali amepata kura ngapi.
Mifumo imeoza balaaSitoshangaa, kwa mifumo ilivyo
Pia anaweza kupigiwa kura za hapana hata akiwa peke akeMaji yamemfika shingon sasa anatafufa mtelezo
Wanashindwaje kuscan hata barua hii( document) na app ya genius scan kweliMgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye.
Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba moja, na akaletwa mshindi wa pili kuwa mgombea na hatimaye akawa Mbunge. Mwaka 2025 Jackson Kangoye alikuwa mshindi wa pili nyuma ya Mbunge Michael Kembaki.
Baada ya Esther Matiko kurejeshwa kuwa mgombea wana CCM waliandamana kupinga kuteuliwa kwa Esther Matiko kuwa mgombea wao kwani walimkataa kwenye kura za maoni na hawamtaki kuwa mgombea Ubunge wao.
Baada ya sauti zao kupuuzwa wana CCM walimshinikiza Jackson Kangoye kugombea Ubunge kupitia Chama chochote cha siasa.
Ndipo Jackson kumbe tayari alichukua kadi awali na kujipanga.
Hofu ya Esther Matiko ni kubwa kwani kila anapopita Tarime mjini anazomewa na watu.View attachment 3456372
Hzo kura za hapana hazifanyiwi kazi kwa ccm hiiPia anaweza kupigiwa kura za hapana hata akiwa peke ake