GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hapo anataka apigiwe kura za ndio ama hapana na bahati mbaya hapana haina hata wakala wake wa kuitazama, upuuzi mtupu
 
Kama amevunja kanuni za chama chake mwenyewe hafai kuwa kiongozi huyu atakuja kuvunja kanuni za nchi

Aondolewe mgombea wa ccm ashinde bila kilaini bila nguvu

Huyu ndo ataelewa reform ni muhimu
 
Hatimaye rufaa hii yatupiliwa mbali
 
Hatutakubali Esther Matiko kuwa na wapinzani wanyonge. Kangoye ahakikishe pingamizi lake liende mpaka Tume ya Uchaguzi. Jina la Kangoye likiwa kwenye box Esther Matiko out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…