Deo Meck Mbagi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 360
- 525
Mkuu andika kwa weledi usiongozwe na mapenzi ya chama fulani!
Macho kama anafanya nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mrembo mno na yeye ,macho kama anapiz ,lazima apate changamoto hiyo
Na kama huyu mleta mada ni Deo ninaemfahamu, ni utopolo fulani hivi. Alikuwa upinzani hapo kablanakwambiaje ccm mwaka huu hamna pakushika njooni na propaganda nyingine sio hizi shenzi zenu
Nime quote post ili usiifute. Watapata zaidi ya hiyoChambo cha Mabeberu samaki wanakikimbia!!
Machadema mwaka huu mkipata 20% mkatambike
Hahaha kwan haujui kuna ambao washashinda ubunge kabla ya uchaguzi tunssubiri wengine wa kuwapigia kuranakwambiaje ccm mwaka huu hamna pakushika njooni na propaganda nyingine sio hizi shenzi zenu
Ata yeye ndiyo lugha gani, kichato? ...naona una njaa hebu burudika kidogo hapa...Ata yeye Lisu anajua anakwenda kushindwa Ila anacho ogopa ni kushindwa vibaya lakini halinabudi kutokea.
Mumetepeta mwaka huu. Ruzuku lazima ziwatokee puani.Nakwambiaje CCM mwaka huu hamna pakushika njooni na propaganda nyingine sio hizi shenzi zenu