Uchaguzi 2020 Esther Matiko asuswa na viongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa

Mliyasema hya hya 2015 lakini nadhanu wote tuliona yaliyotokea. Huyo Jessca si ndio alikua mwenyekiti wenu kipindi Msigwa anawatandika mkaishia kumuita msaliti!! Leo hii ndio aje amng'oe Msigwa akiwa hana mamlaka yale ya 2015?

Anyway tutakutana hapa Tar 29 tukumbushane
Sawa,

Tungojee tarehe husika.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Lumumba wanaliwazana kweli hapa, huyo Deo mwenyewe hana ubavu kwa Esther, kama amabisha mwambieni apelele pua yake pale aone.
 
ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA

  • Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya.
  • Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo.
  • Pia wanajiepusha na lawama ya kushindwa sababu hali yao ni tete.
  • Kushindwa kwake kutekeleza ahadi zake kwawa mwiba mkubwa katika kampeni zake.
  • Waamua bora waende kufa na Heche ambaye nae pia anapumulia mashine.
  • Hivi sasa kila mkutano wake ni wanachadema walewale wanahamasishana walau ionekane kuna watu.View attachment 1606972
Hali ya Chadema katika majimbo yote ya Tarime Mjini imezidi kuwa tete na hivi sasa viongozi wa Wilaya na Mkoa wamefarakana na mgombea wao wa Jimbo la Tarime Mjini, kwa sababu mbalimbali ikiwemo dharau, kiburi na malingo.

Hali hiyo imepekekea viongozi hao wakiongozwa na Lucas Ngoto na Hamisi Nyanswi kuamua kujikita na kampeni za Ubunge Jimbo la Tarime Vijijini walau kuhalalisha wao kumkacha Esther Matiko ambaye hali yake ni mbaya sababu alishindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

Katika ahadi alizoahidi mwaka 2015 zilizokuwa kwenye kipeperushi na zisizokuwa kwenye kipeperushi hajafanikiwa kutekeleza hata asilimia tatu (3%). Na kwa kuwa wananchi wana uelewa mpana sasa wanamuhoji kama uliahidi tukakupa kura ukashindwa kutekeleza ahadi basi wewe ni kiongozi mbabaishaji mkubwa.

Katika kuokoa jahazi hivi sasa Esther anawalipa wanachadema wanaohudhuria mikutano yake shilingi 2000 kwa kila mmoja kuficha aibu ya kutokuwa na wahudhuriaji kwenye mikutano yake, ndio maana baada ya mikutano wote huelekea ofisini kuchukua posho yake na watu wote ni wa sehemu moja.

Maana hakuna namna mtu atoke Kenyamanyori, Ketare, Nkende, Nyandoto n.k na kurudi ofisini baada ya mkutano na atembee kurudi kijijini kwa mguu. Na kikundi hicho ni cha wafuasi wao wengi ambao wanaishi Tarime Mjini maana wakienda kwenye mkutano, wakarudi ofisini na kuchukua buku mbili basi wananyooka moja kwa moja kwenda nyumbani kwao.

Nimeweka picha yenye kipeperushi cha ahadi zake za 2015 ambazo katika kipeperushi hicho hakuweza kutekeleza hizo ahadi. Na ndio maana umma wa wana Tarime umesema wao wanaenda na Mh. Michael Kembaki na madiwani wake, na Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli kwa ahadi thabiti zinazotekelezeka.

Imeandikwa na:

Deo Meck

Tarime
Naona umeamua kupuu kabisa
 
Its been a minute and it will be another minute. Before we know it.....its............
 
Ashindwe ubunge mabaharia tupate jinsi ya kumuingia.. Mtoto mkali sana huyu. Akikosa tu ubunge bavicha anzeni kuniita shemeji BUSH BIN LADEN
Safarini kuelekea Tarime kwenda kuyajenga na bidada anae ukonga moyo wangu, Ester Matiko. Bavicha mlioko mitaa ya Tarime naombeni kampani yenu nikifika huko. Lazima mwaka huu niwe shemeji yenu
 
ESTHER MATIKO ASUSWA NA VIONGOZI CHADEMA MKOA NA WILAYA

  • Ni Lucas Ngoto Mwenyekiti Mkoa, na Hamisi Nyanswi Mwenyekiti Wilaya.
  • Sababu kubwa ni dharau, kiburi na malingo.
  • Pia wanajiepusha na lawama ya kushindwa sababu hali yao ni tete.
  • Kushindwa kwake kutekeleza ahadi zake kwawa mwiba mkubwa katika kampeni zake.
  • Waamua bora waende kufa na Heche ambaye nae pia anapumulia mashine.
  • Hivi sasa kila mkutano wake ni wanachadema walewale wanahamasishana walau ionekane kuna watu.View attachment 1606972
Hali ya Chadema katika majimbo yote ya Tarime Mjini imezidi kuwa tete na hivi sasa viongozi wa Wilaya na Mkoa wamefarakana na mgombea wao wa Jimbo la Tarime Mjini, kwa sababu mbalimbali ikiwemo dharau, kiburi na malingo.

Hali hiyo imepekekea viongozi hao wakiongozwa na Lucas Ngoto na Hamisi Nyanswi kuamua kujikita na kampeni za Ubunge Jimbo la Tarime Vijijini walau kuhalalisha wao kumkacha Esther Matiko ambaye hali yake ni mbaya sababu alishindwa kutekeleza ahadi zake alizoahidi katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

Katika ahadi alizoahidi mwaka 2015 zilizokuwa kwenye kipeperushi na zisizokuwa kwenye kipeperushi hajafanikiwa kutekeleza hata asilimia tatu (3%). Na kwa kuwa wananchi wana uelewa mpana sasa wanamuhoji kama uliahidi tukakupa kura ukashindwa kutekeleza ahadi basi wewe ni kiongozi mbabaishaji mkubwa.

Katika kuokoa jahazi hivi sasa Esther anawalipa wanachadema wanaohudhuria mikutano yake shilingi 2000 kwa kila mmoja kuficha aibu ya kutokuwa na wahudhuriaji kwenye mikutano yake, ndio maana baada ya mikutano wote huelekea ofisini kuchukua posho yake na watu wote ni wa sehemu moja.

Maana hakuna namna mtu atoke Kenyamanyori, Ketare, Nkende, Nyandoto n.k na kurudi ofisini baada ya mkutano na atembee kurudi kijijini kwa mguu. Na kikundi hicho ni cha wafuasi wao wengi ambao wanaishi Tarime Mjini maana wakienda kwenye mkutano, wakarudi ofisini na kuchukua buku mbili basi wananyooka moja kwa moja kwenda nyumbani kwao.

Nimeweka picha yenye kipeperushi cha ahadi zake za 2015 ambazo katika kipeperushi hicho hakuweza kutekeleza hizo ahadi. Na ndio maana umma wa wana Tarime umesema wao wanaenda na Mh. Michael Kembaki na madiwani wake, na Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli kwa ahadi thabiti zinazotekelezeka.

Imeandikwa na:

Deo Meck

Tarime
Subiriii HECHEE WAKOOO
ATAKUWAA HACHAAA
 
Safarini kuelekea Tarime kwenda kuyajenga na b@idada anae ukonga moyo wangu, Ester Matiko. Bavicha mlioko mitaa ya Tarime naombeni kampani yenu nikifika huko. Lazima mwaka huu niwe shemeji yenu
Dah BIN LADEIN matamanio yako yamekua kweli😍 sasa shindwa mwenywe😂😂😂😂

Back
Top Bottom