Uchaguzi 2020 Esther Matiko asuswa na viongozi wa CHADEMA wilaya na mkoa

Hahahaha DEO upo? Umemaliza vyama vyote sijui sahvi uko chama gani

Ni aibu kubwa sana kuambulia kura 300 alafu matiko alikuacha mara elfu, mtoto wa kiume kwa mara kuangushwa na binti ni aibu mnoo.

Kma unamuweza si ungechukua fomu tena? Jukwaani ulimshindwa alafu sahvi unaanza kumvizia.

Unatia huruma
 
Chama cha Mbowe ndembendembe, Leo katikiswa vibaya mno kwenye Moja ya ngome yao kongwe.Kilimanjaro imetwaliwa na CCM, kutoka kwenye utumwa wa Mbowe na genge lake.
Na kesho Arusha inaporomoka hivi hivi mbele ya macho yake.
 
nakucheka kwa dharauuuuu
 
Yani wewe ni liongo huoni hata aibu Lumumba shida tupu!
 
Naona anaka figure kazuri kanalipa, sema nywele ndio wig akiitoa unaweza kukimbia
 
Chadema kinajifia
 
Hana cha kupoteza,akikosa ubunge wa jimbo atapata ubunge wa kuteuliwa na akikosa vyote ataenda kufundisha chuo ,since alikuwa mhadhiri UDSM
 
Kama Msigwa tu.

Mkutano unakuwa na wahamasishaji tu. Wakazi wa eneo husika hata hawahudhurii.

Anasingizia eti wananchi wanatishwa na CCM wasihudhurie mikutano yake.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Mbona hamueleweki.

CHADEMA wakijaza mikutano ooh mnadai sio wapiga kura.

Wasipojaza mikutano mnadai hashindi sababu hamna wakazi wameenda.

Kujaza uwanja ni indicator ya ushindi au sio?
 
Wasipojaza ndio ujue hali ni mbaya zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
Iringa 2015 si mlijaza uwanja mzima na mkatoa matusi weee kwa Lowassa ila mliambulia kura ngapi?

Kwa majimbo ya incumbents maamuzi hufanyika hta kabla ya kampeni hazijaanza maana mnapima ahadi vs utekelezaji sio kelele za mikutanoni.

Sasa kma unadhani Jessca atashinda then unajidanganya.
 
We subiri mwaka huu.

Msigwa ashachokwa Iringa mjini.

Mambo mengi hajayatimiza. Amebaki kuomba kura za huruma.
Anasema eti kuanzisha vicoba sio kazi ya mbunge, kwani kama kitu kinafaida kwa jamii kwani kuna ubaya kukifanya hata kama sio jukumu lako.
Unaona watu wanateseka na uwezo wa kuwasaidia unao, unasema sio kazi yangu.

Jesca ndio chaguo la wana Iringa mjini kwa sasa.

Vipindi viwili alivyokaa vimemtosha atafute kazi nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Mliyasema hya hya 2015 lakini nadhanu wote tuliona yaliyotokea. Huyo Jessca si ndio alikua mwenyekiti wenu kipindi Msigwa anawatandika mkaishia kumuita msaliti!! Leo hii ndio aje amng'oe Msigwa akiwa hana mamlaka yale ya 2015?

Anyway tutakutana hapa Tar 29 tukumbushane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…