Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

Wanasiasa wa bongo siku zote, huwa wanatupromise na maneno matamu......mara oooh sasa tumeanza kuchimba gesi kwa hiyo umeme utakuwa nafuu.......kilichotokea kila mtu anafahamu, gesi tukapata, lakini hatujaona kama kuna unafuu...mara tumelaza mkongo wa taifa baharini, kwa hiyo mawasiliano na internet itakuwa gharama nafuu, ...... ikapita hakuna unafuu,na sasa mapambio tena ya kupata umeme nafuu bwawa la Nyerere likikamilika, najua na hiyo itakuwa kama yaleyale, manake tushazoea kupewa matumaini na wanasiasa na viongozi......tuwe wapole tu na tukubali yaishe na kazi iendelee.
 
Hata hiyo stiegler ikikamilika, bado umeme utakuwa bei juu tu.
Umesema kweli maana tunakuwa tunalipa deni pamoja na interest. Kutokuwa na viongozi wasio na maono ni shida kweli. Hata vijukuu vyetu watakuja kulipia haua madeni maana yanaonekana kupaa kila siku.
 
Hata hao bado wanauziwa umeme bei ghali maana Tanzania kwa Tsh.10,000/= unapata unit 82
 
Hamia kwa Yoweri.
Huenda huko atatambulika kama mbunge!
Analalamikia umeme, huku anatuibia kodi kwa kubeba m11 kwa mwezi, ovyoo!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Hata Sumbawanga pia wanauziwa umeme bei chee sana naskia wanatumia umeme wa Malawi/Zambia. Nliwahi kuishi kule miezi kadhaa asee nilikua napikia jiko la umeme fresh kabisa
 
Point!
 
Ukitaka kuongea hasa bungeni uwe na tathmini ya uhakika. Yeye angeenda kwanza Tanesco ili apate data za kutosha .
 
Sij
SG haukuwa mpango wa JK pls.
SG haukuwa mpango wa JK pls.
Dogo Tatizo huwa unakurupuka tu. Nasema JPM alitaka kusiwe na ufisadi ili unit ya umeme iwe na bei ndogo. Hivyo alizuia mikopo yenye ufisadi. Kwa sasa anayeongoza kwa kivuli cha Samia anapenda ufisadi, lazima amuingize chaka Samia ili akope na ufisadi uwepo ndani. Ufisadi ndiyo hufanya end product kuwa ya ghali.
 

Ukope 6.5t kisha utegemee umeme uwe na bei ndogo, acha utani basi boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…