Esther Matiko: Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa "unakaguliwa na hata kama ni Mama utaruka kichurachura"

Mbunge huyu ana hoja ya maana hata kama ni wa chadema.Imagine mama yako mzazi,dada yako,mkeo,mwanao wa kike yupo kwenye siku zake anabaki uchi anaruka kichura chura ili akaguliwe.Nimejiskia vibaya sana kwa kitendo hiki kufanyiwa mtu.Lakini ewe Binti Matiko sheria si zinatungwa huko Bungeni?wekeni sheria sawa sio kula posho na kukopa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.Pia msisahau kurekebisha fao la kujitoa ni ukoloni mambo leo.Nchi za wenzetu zilizoendelea unaweza kukopeshwa hata kama huna dhamana ukiwapa business proposal wakiichambua unakopa,sisi tumekazania vitu vya kikoloni.Shangaeni kwa wenzetu mtu ana miaka 18 amemaliza chuo kikuu sisi tunaingia madarasa na madarasa bila kujua tulifanyiwa vile ili kucheleweshwa.
 
Baada ya kuuweka u-covid-19 wake naona ana hoja ya msingi inayohitaji majibu ya kina toka serikalini.

Sidhani kama sisi tupo sahihi kuhusu mageleza zetu, wenzetu walioendelea walikuwa na mageleza kama zetu kwenye karne ya 16 na 17 ila wakaachana nazo!! kumtesa na kumwaibisha (intimidate) mtu gelezani si njia sahihi ya kumfunza ili ajutie makosa yake... instead unaweza kumfanya mfungwa kuwa sugu zaidi - Refer ule msamaha wa wafungwa lukuki kipi kilitokea walivyorudi uraiani.

Nafikiri kuna sehemu hatuko sawa, kutumia mageleza kama torturing place hatuko sahihi rather tunafanya hawa wafungwa kuwa sugu.
 
Kasema zifungwe mashine za ukaguzi, au hii sio njia ya ufumbuzi kwako?!
 
Kwani hajasema mbinu yakutumika?

soma tena
 
Kwahiyo wewe uliona utoe majibu kwanza ndio baadae ukasome hoja iliyotolewa??
 
Airport huwa wanavua nguo? na wanaoshikwa na madawa ya kulevya tumboni huwa wanaingizwa vidole tumboni?

Tumieni teknolojia adhabu inaenda na haki za binadamu ndio maana mtu hanyongwi hadharani ila sirini.
 
Enzi ya dikteta wangeongea hivyo?
 
Wakiwa madarakani huwa ni wapumbafu sn, Lowasa na Sumaye walipokuwa mawaziri wakuu walikuwa wanaona katiba ni nzuri sn, walipoenda CHADEMA wakaanza kudai katiba mpya nao.
 
"Tuwe na vifaa vya kisasa vya ukaguzi, kama kuna kitu ameweka tumboni kitaonekana"

Hapo bado hajaonyesha njia?
 
Wanapuuza wakifikiri jela ni sehemu ya watu flani tu. Itafika zamu yao siku wasiyoijua.
Inaweza wasiwe wao hata watoto wao wataipata, Ali Bashiri wa Sudani kama sikosei analalamika kila siku magereza hakufai lakini enzi yake kila mtu alikuwa anampeleka gerezani
 
Wewe kweli unakula mavi. Sijui ni livivu la kusoma. Huoni ameeleza mashine zitumike badala ya hizo njia zinazotweza utu wa watu.
 
Hilo li Simbachawene ni hopeless kabisa. Maafrika sijui nani katuroga. Yaani anajibu kana kwamba hilo suala ni geni. Matako yake makubwa!
 
Umeelewa ushauri wa mbunge au una bwabwaja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…