Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuuweka u-covid-19 wake naona ana hoja ya msingi inayohitaji majibu ya kina toka serikalini.Prison is not home !!!! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia...
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengene
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamiks
Kasema zifungwe mashine za ukaguzi, au hii sio njia ya ufumbuzi kwako?!Prison is not home !!!! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia...
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengene
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamiks
Kwani hajasema mbinu yakutumika?Prison is not home !!!! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia...
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengene
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamiks
Hizi ndio zile zinazopigwa marufuku dunia nzima kuwa mionzi ina madhara kwa afya au zingine?aliposema zifungwe za kisasa za ukaguzi hukuelewa au?
Kwahiyo wewe uliona utoe majibu kwanza ndio baadae ukasome hoja iliyotolewa??Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Airport huwa wanavua nguo? na wanaoshikwa na madawa ya kulevya tumboni huwa wanaingizwa vidole tumboni?Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Enzi ya dikteta wangeongea hivyo?Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum kwenye Magereza ili kuondoa malalamiko ya Wafungwa kukaguliwa wakiwa uchi wa mnyama jambo ambalo ni kinyume na Haki za Binadamu.
“Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa unakaguliwa na hata kama ni mama upo kwenye siku zako utaruka kichurachura ili waone kama kuna kitu umeficha huku chini"- Ameeleza Esther Matiko.
Tuwe na vifaa vya kisasa vya ukaguzi, kama kuna kitu ameweka tumboni kitaonekana kuliko wanavyofanya sasa hivi, ni udhalilishaji
Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema ukaguzi wa namna hiyo ni mapokeo ya kikoloni na yanaondoa Utu wa Mtu kwasababu sio sawa kwa Wanawake na hata Wanaume kukaguliwa kwa hali ya udhalilishaji.
Aidha, Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amemtaka Mbunge kuweka wazi ni wapi matukio kama hayo yanafanyika ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua.
Masha alipokuwa Waziri wa mambo ya ndani naye alikuwa na kejeli hivi hivi, siku ya siku wakamjaza ndani mwenyewe siku 3 alitoka anataka mfumo wa mahabusu ufumuliwe haraka.Ina maana huyu Waziri alikuwa usingizini wakati huyo Mbunge anataja Gereza la Segerea?
Wakiwa madarakani huwa ni wapumbafu sn, Lowasa na Sumaye walipokuwa mawaziri wakuu walikuwa wanaona katiba ni nzuri sn, walipoenda CHADEMA wakaanza kudai katiba mpya nao.Kwanini waziri anauliza atajiwe ni gereza lipi ili wahusika wachukuliwe hatua?
Hatua gani atazochukua wakati huo ndio utaratibu wa magereza zote nchini?
Inawezekana huyu waziri hajawahi kuwekwa mahabusu na hatimaye gerezani ndio maana kuna umuhimu wa viongozi wa kisiasa karibu wawe wanafungwa kwanza ili wajifunze ni kwa kiwango gani raia huwa wanadhalilika gerezani.
Wanasiasa ndio watungaji wa sheria, spika kudai ni sheria za mapokeo kutoka ukoloni kwa hiyo yeye kama mkuuwa mhimili wa utungaji sheria kwanini hajawahi kuishauri serikali kurekebisha sheria hizo dhalili?
"Tuwe na vifaa vya kisasa vya ukaguzi, kama kuna kitu ameweka tumboni kitaonekana"Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Inaweza wasiwe wao hata watoto wao wataipata, Ali Bashiri wa Sudani kama sikosei analalamika kila siku magereza hakufai lakini enzi yake kila mtu alikuwa anampeleka gerezaniWanapuuza wakifikiri jela ni sehemu ya watu flani tu. Itafika zamu yao siku wasiyoijua.
Well saidAirport huwa wanavua nguo? na wanaoshikwa na madawa ya kulevya tumboni huwa wanaingizwa vidole tumboni?
Tumieni teknolojia adhabu inaenda na haki za binadamu ndio maana mtu hanyongwi hadharani ila sirini.
K vant ni Mambo ya mwenyekiti wenu.Wanajisahaulishaga hao.
Itakuwa alikunywa k.vant tu
Wewe kweli unakula mavi. Sijui ni livivu la kusoma. Huoni ameeleza mashine zitumike badala ya hizo njia zinazotweza utu wa watu.Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Umeelewa ushauri wa mbunge au una bwabwaja tuPrison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.