Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Unaonekana umeangalia movie ya escape from sobibo, mkuu! Yale siyo maisha halisi ni maigizo, na pia ni hali zilizokua karne ya 16 na 17!Ulaya yenyewe western Europe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana umeangalia movie ya escape from sobibo, mkuu! Yale siyo maisha halisi ni maigizo, na pia ni hali zilizokua karne ya 16 na 17!Ulaya yenyewe western Europe.
Binafsi siwezi kudhalilika kwa sababu yoyote. Mtu pekee anaeweza kukagua makalio yangu ni daktari na iwe imelazimu kuna ugonjwa usipotobika labda nitahatarisha maisha yangu, vinginevyo hakuna.Kama una akili timamu huwezi kuingia kwenye haya majeshi ya kipuuzi
Siyo utoto wa movies naongelea kitu ambacho ninakifahamu asilimia 100%. Kwenye magereza ya wenzetu kuna A cat mpaka D cat prisons.ukiwa A cat prison lazima upitie hicho kioo.Tii sheria bila shuruti.Unaonekana umeangalia movie ya escape from sobibo, mkuu! Yale siyo maisha halisi mkuu ni maigizo mkuu, na pia ni hali zilizokua karne ya 16 na 17!
Black corn’s man!Siyo utoto wa movies naongelea kitu ambacho ninakifahamu asilimia 100%. Kwenye magereza ya wenzetu kuna A cat mpaka D cat prisons.ukiwa A cat prison lazima upitie hicho kioo.Tii sheria bila shuruti.
wakati wanafanyiwa hayo huyo ndugai anayewatetea alikuwa India au alikwepo TzMbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko, ameitaka Serikali kufunga mashine maalum kwenye Magereza ili kuondoa malalamiko ya Wafungwa kukaguliwa wakiwa uchi wa mnyama jambo ambalo ni kinyume na Haki za Binadamu.
“Unapoingia Segerea unavuliwa nguo zote, unaambiwa unakaguliwa na hata kama ni mama upo kwenye siku zako utaruka kichurachura ili waone kama kuna kitu umeficha huku chini"- Ameeleza Esther Matiko.
Tuwe na vifaa vya kisasa vya ukaguzi, kama kuna kitu ameweka tumboni kitaonekana kuliko wanavyofanya sasa hivi, ni udhalilishaji
Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema ukaguzi wa namna hiyo ni mapokeo ya kikoloni na yanaondoa Utu wa Mtu kwasababu sio sawa kwa Wanawake na hata Wanaume kukaguliwa kwa hali ya udhalilishaji.
Aidha, Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amemtaka Mbunge kuweka wazi ni wapi matukio kama hayo yanafanyika ili wahusika waweze kuchukuliwa hatua.
SureBinafsi siwezi kudhalilika kwa sababu yoyote. Mtu pekee anaeweza kukagua makalio yangu ni daktari na iwe imelazimu kuna ugonjwa usipotobika labda nitahatarisha maisha yangu, vinginevyo hakuna.
Matiko anakata manini 😁😁😁Matiko anakata mauno hatari
Dah hivi jamani mabichwa ya watu wengine yakoje? Unasema atowe njia sahihi na siyo kulalamika, kwani husoma alichosema? Ameshauri wazi kabisa kuwa kuwepo na vifaa vya kisasa vya kupekuwa wafungwa lakini umeruka na comments zisizo na kichwa wala miguu!Prison is not home! ndio maana kunatisha ili watu wasitende makosa!!!!ndio maana ni laaana ya vizazi na vizazi kwa mtu anayemsingizia mtu kosa ili ampeleke pasipo hatia.
Kuna wahalifu hasa wanawake wanaweza kuingia na vitu vya hatari kwa usalama wa wanaowalinda au watuhumiwa wengine.
Yeye kama mbunge ambaye ni muhimili wa dola angetoa njia sahihi ya kupekua na siyo kulalamika.
Utakuja kwenda tuUnamjua mhalifu wewe, au unasimuliwa tu!??? Imagine yule kijana A Town aliyembaka mbibi, then akamnyonga. Be serious sometimes, sawa!??? Tena nasema sheria hukoooo ziwekwe kando watu waminywe haswa hadi akili ziwakae kumkichwa.
Uchunguz wangu unaonesha DISHI lako limeyumbaUkiwa mhalifu usidhani ni wote, sawa!???
ungejua jela hakuna mwenyewe ,usingeongea ayo binti yanguSolution inayohitajika hapa ni ileeee ya KUWABAMIZA hao wahalifu wenzio ili wakitoka wawe na stori ya kukusimulieni nyie wahujumu wa taifa, walarushwa, mafisadi, wapiga dili na wachochezi na wavuruga-amani ya nchi. Umeelewa, umelewa, ama umeelemewa?