Tetesi: ESTIM kujenga barabara Kimara - Kibaha

Naomba kujua kampun inayojenga barabara pale mafinga ukiwa unaenda mbeya kiukwel uki drive kwenye njia ile unahisi hauko Tanzania ingawa haijakamilika ila hongera kampuni hiyo.
Ni wachina wanajenga sijajua jina la kampuni ipo vizuri japo haijaisha.
 
Estim Construction wanafanya kazi nzuri sana, sio tu kwenye barabara hadi majengo yao yako vizuri.. naona wanayo capital nzuri na wako serious
 
Uzuri wake unaonekana kwenye Bagamoyo road kuanzia Mwenge hadi Tegeta.
Waliojenga mwenge tegeta sio estim ni Konoike..

Estim wamejenga mwenge-morocco
 
Reactions: SDG
Naomba kujua kampun inayojenga barabara pale mafinga ukiwa unaenda mbeya kiukwel uki drive kwenye njia ile unahisi hauko Tanzania ingawa haijakamilika ila hongera kampuni hiyo.
China civil ....
 
Waliojenga mwenge tegeta sio estim ni Konoike..

Estim wamejenga mwenge-morocco
Mkuu nafikiri wote tupo sahihi.. Ila ukifuatilia utajua kwa nini nasema estim wamejenga hiyo barabara ya Mwenge Tegeta.
 
Mkuu nafikiri wote tupo sahihi.. Ila ukifuatilia utajua kwa nini nasema estim wamejenga hiyo barabara ya Mwenge Tegeta.
Najua estim walikua sub- contractor, laikini contractor mwenyewe ni konoike. Naweza kuwa nakosea.
 
Morocco-Mwenge nayo ni ya KUJIVUNIA?
 
labda kuna kitu hatujakielewa..
mwendo kasi inapanuliwa kutoka kibo hadi kimara? kivipi?
na njia sita hadi kibaha hii ni bara bara za kawaida wataziweza
Hapo kupanuliwa mwendo kasi Kibo - Kimara ndio sijaelewa hapo, inapanuliwa kivipi..?
 
Hii kampuni si ilishawahi kuhusishwa na Roastamu Aziz?
 
Reactions: SDG
Inakusaidia nini kuwa na njia sita kuanzia kimara-kibaha wakati huohuo kuingia mjini kuna barabara moja zinakuja 6 inatoka 1 msongamao hautapungua hapo ni matumizi mabaya ya fedha za mikopo
Njia sita zingeanzia mjini kabisa..
 
Naukumbuka huo uzi,ulibandikwa during JK era
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…