Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
Ni wachina wanajenga sijajua jina la kampuni ipo vizuri japo haijaisha.Naomba kujua kampun inayojenga barabara pale mafinga ukiwa unaenda mbeya kiukwel uki drive kwenye njia ile unahisi hauko Tanzania ingawa haijakamilika ila hongera kampuni hiyo.